Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana Jf naomba niipongeze serikali yetu ya Tanzania kwa kazi nzuri inayo ifanya kutangaza mbuga zetu nchi za nje,nalisema hili baada ya kuona mabango wakati naangalia mechi kati ya sunderland na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
daladala zote jijini mwanza zimegoma leo kuanzia saa 3 asubuhi kushinikiza bei ya nauli za daladala zipande kutoka 250 to 300 kwa route fupi n 450 to 500 kwa route ndefu kutokana na bei kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa Mimi nimefurahishwa na jinsi Ngo hii inavyojitangaza ikionesha kazi zake katika video .naweza nisijui ukweli wa yaliyomo lakini hii nimeipenda sana hasa katika zama hizi za Tecnlojia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi hawa tanesco wametumwa!!?au ni uleule ufisadi ndo unatufanya sisi wananchi tuishi gizani.kama ndo hivi tumekwisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, kama mnakumbuka miaka ya nyuma hadi mwanzoni mwa mwaka 2008 kulikuwa na gazeti lilikuwa linatoka kila Jumatano na lilikuwa linaitwa JITAMBUE na mmiliki wake kama sikosei alikuwa MUNGA...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Taifa la Tanzania limekumbwa na kirusi 'wizi' ambaye kwa hakika ataliangamiza kabisa bila juhudi za makusudi kuchuliwa na wananchi wenyewe.Kila kukicha hali ni bora ya juzi,gharama za maisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, ifuatayo ni Career Background ya JK, Kuanzia mwaka 1988-2011 na kuendelea nimejaribu kuangalia baadhi ya majanga ya kitaifa yaliyosababishwa na raisi Kikwete katika kipindi chote ambacho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
After Taveta Airport ... a new company has embarked on building lodges in the Mt Kilimanjaro area. source - Business Daily Group plans to build lodges near Mt Kilimanjaro
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tatizo la mimba kutoka au kutolewa ni jambo ambalo limewakumba kina mama wengi walio katika umri wa kuzaa. Aidha mijadala kuhusu kuhalalishwa au kuendelea kuharamishwa kwa utoaji mimba ni jambo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nipo njiani kuelekea arusha.Wanajeshi wameleta usumbufu mkubwa hapa mlandizi kwa kuegesha lori na kuziba barabara. Sababu haijulikani.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana hapa Mnazi mmoja Mh Makam wa rais alikua akizindua kampeni ya usafi wa mazingira. Cha kusikitisha, wahusika hawakumpa persanal protective equipment (ppe) kama gloves,mask, etc avae. Wao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dar among dirtiest cities in Africa, says minister Tuesday, 08 February 2011 22:12 By Joas Kaijage, The Citizen Correspondent Bukoba. Tanzania commercial capital, Dar es Salaam, is ranked...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mh,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.JM Kikwete, Naleta ombi langu kwako japo umechelea kufanya maamuzi juu ya viongozi hawa ambao umri wao wa kustaafu na bado wako...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ba ndugu, Tafadhali naomba anayefahamu nyumba ya wazee/old people hom hapa DSM ipo sehemu gani. Somebody wants to go and distribute some items there but we do not where can we find one. Pse pse help.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wizi wa Kagoda YUSUF Manji, mfanyabiashara wa Dar es Salaam, ni miongoni mwa walionufaika na mabilioni ya shilingi ambayo yalikwapuliwa na kampuni ya kitapeli ya Kagoda Agriculture Limited...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msichana mmoja wa nchini Uingereza amefariki dunia punde baada ya kupigwa busu kwa mara ya kwanza na mpenzi wake. Jemma Benjamin msichana mwenye umri wa miaka 18 alikuwa kwenye matembezi na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kutakuwa na köngamano kuubwa, kujadili mustakabali wa kisiasa hapa nchini toka harakati za uhuru hadi sasa. Wahadhiri mbalimbi na masheikh maarufu watakuwepo. PIA ITAKUWA LIVE KUPITIA "RADIO...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni jambo la kawaida kwa jamii ya kizazi hiki kumzomea kiongozi anayetoa hoja ambazo hazina mshiko na kujaa pumba kwao. Hivi karibuni kiongozi, na mshika bango la elimu aliipata homa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuteuliwa kwa kamishna Mkuu NDG Ulungi kulitegemewa na Wengi na watumishi wanamwamini na wanampongeza rais Jk kwa uteuzi huo ulungi siyo fisadi na ni mtu wa kufuata sheria asiye na majungu.Hata...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Heshima yenu wanajamvi. Naomba tafadhali mtu anayejua maneno ya wimbo wa "Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge" Sijui ulitungwa lini lakini ni wimbo unaojulikana sana. Nadhani ulitungwa na kikosi cha...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom