NDUGU ZANGU WATANZANIA NATAFUTA WATU WA KUNIUNGA MKONO , ILI TUANDAMANE KUELEKEA IKULU. NATAKA RAIS ATUAMBIE UFUMBUZI WA MASUARA HAYA
MGAWO WA UMEME UTAISHA LINI?
jamani kwa sasa hakuna...
hivi kuna ukweli wowote kuhusu population ya mkoa wa mwanza ni kubwa kuliko population ya chi ya zanzibar kama ni hivyo basi kumbe hata mwanza ni nchi huru kwani tunaona kura za diwani wa bara ni...
Kutokana na vishawishi vya kimapenzi kutokana na picha na meseji zinazoandikwa kwenye Facebook zimepelekea watu wengi wazisaliti ndoa zao na matokeo yake kumekuwepo na ongezeko kubwa la kuvunjika...
Habari zenu wana jf, naombeni msaada wenu wa kimawazo katika hili. mimi ni mjasiriamali nina stationery nimepanga sehemu ambayo ina nyumba kubwa ndani. kutokana na ukubwa wa nyumba na wingi wa...
Kuna tatizo lisipotizamwa tutakuwa tunauana wenyewe kwa wenyewe.Kwa jinsi ninavyoona naona wanaume tunalaumiwa na kuonekana hatufai katika jamii pale inapotokea mwanamme kumbaka mwanamke,utasikia...
Katika hali ya kawaida bunge letu linapashwa kuwa ndicho kielelezo cha demokrasia ya kweli hapa nchini. Lakini mambo ni tofauti; hivi sasa Spika anadiriki kuwakemea wabunge kama kwamba ni watoto...
wanajamvi mlioko Dar anatafutwa carpenter asiyembabaishi.Ningefurahi kujua bei zake mfano ,kitchen,doors,dining table.Natanguliza shukrani kabla ya kuliwa manake dar kila mtu ana bei yake
Kuna baadhi ya watu wanao ibeza CDM kwa uamuzi wake wa juzi, wa kususia hatua za mwisho za mjadala wa kufanyia marekebisho kanuni inayotoa ufafanuzi wa ni nini maana ya kambi rasmi ya upinzani...
Rais wa misri anajiandaa kwenda Ujerumani kwa kile anachodai ni kwenda kuangalia afya yake. Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema kuwa hiyo ni janja ya kuondoka madarakani na kumwachia madaraka...
wana Jf
hebu angalieni haya mazingira kweli yanaweza kusaidia elimu yetu kukuwa?
mfumo mzima wa elimu ambao haulingani na mazingira halisi ya sehemu husika kama inavyo onyeshwa hapo chini...
Namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kunijalia muda huu wa kuandika machache kuhusu JF.
Kusema kweli, kutokana na mafundisho ninayopata hapa naamini utakubaliana nami kwamba JF ni zaidi ya...
Mtoto huyu anahitaji msaada wa haraka kwaajili ya kufanyiwa upasuaji ewe ndugu mchango wako ni wewe kuifoward picha hii popote na hiyo itakua ndio mchango wako! Kwa kweli inatia huruma na pia...
Samahani wanainchi mi ni mwandisi wa Habari sa uchungusi, ilinibidi kuzama dom na hatimaye mtaani kujioneya yanayojiri usiku baada ya bunge ni UOZO! Huwezi kuamini kuona wabunge tunaowatarajia...
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, Dk. Athman Mfutakamba amesema kuwa serikali haina mpango wa kutoa fedha nyingine kwa ajili ya kuifufua Kampuni ya Ndege (ATCL).
Akiongea katika kipindi cha dakika 45...
Dear JF Members, a favour please;
Am working on a brief information sheet (4-6 pages) on HIV and indigenous communities in Africa. I have made some contacts regarding the research but it has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.