Health staff shortage a Sh500bn question Friday, 11 February 2011 22:59
By The Citizen Reporters
Dar es Salaam.
Tanzania urgently needs over Sh500 billion to fill the yawning personnel gap...
Jana tarehe 11 na leo tarehe 12 February 2011 wafanyakazi wa TANROADS, DSM Regional office wamepita kando kando ya barabara ya morogoro na kuweka alama za 'X' na 'BOMOA TNRD' kwenye nyumba, fence...
Habari members JF!
Nimetumiwa ujumbe(phone) na mdogo wangu wa kiume yupo arusha.
Unajua kwenye sim kuna Phonebook...amejaza watu wake muhimu na wazazi wetu wote ke/me.
Sasa kuana msg za ujumbe...
MKUU wa Kitengo cha Propaganda wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tambwe Hiza, amemshangaa aliyewahi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kwa kungangania madaraka.
Tambwe alitoa kauli hiyo jana...
As CNN newsmagazine Inside Africa was airing, I just happened to be thinking of my motherland and its political, social, and cultural issues, which are the segments that aired, but with prompt and...
Je unajua machukizo makuu matatu('the three most hated entities in Tanzania) kwa watanzania haswa kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa kikwazo kikubwa kwa watanzania kujipatia...
WanaJF,
Miaka ya 80-90 nilikuwa Morogoro Maarufu kama mji kasoro bahari, weekend kama hii haikuwa tabu na maisha ya mashaka kama sasa, wakati mwingine tukisia habari kuwa bwawa la kidatu limejaa...
Serikali, katika mazingira ya utata kiasi na kasi kubwa, iliamua kutoa uraia kwa waliokuwa wakimbizi wa Burundi, wengi wao waliokuwa wakiishi kwenye Makazi ya Katumba na Mishamo huko Mpanda...
ATAKAYEBAINIKA kuambuikiza na kusambaza virusi vya ukimwi kwa makusudi atatumikia kifungo cha miaka 10 jela.
Hayo yamebainishwa jana na Waziri wa Katiba na Sheria, Bi. Celina Kombani alipokuwa...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala imeunda timu maalum kuchunguza chanzo cha kifo cha Sabela Mganga(31) aliyefariki katika zahanati ya CHO ya Ukonga Mazizini baada ya kujifungua watoto mapacha na...
The Case for Corporate Dress Guides
Women walk a thin line when it comes to figuring out what to wear at work. Could up-and-coming, professional women benefit from a set of dress guidelines...
Educating Our Children: Catholic Schools Doing More With Less
By Anne Marie Riha
Published February 08, 2011 | FoxNews.com
body { margin: 0pt; }img { border: medium none; }...
Your Excellency,
I trust you are well as I am sure electricity and food shortage arent part of you rather they are part of your humble servants.
Those can never be the problems of the...
Naombeni kujuzwa jamani
Kuna Chuo Kikuu kilianzisha maeneo ya Manzese kama sikosei, kikiitwa Regional University, ila kilikuwa na mgogoro wa usajili na Tume ya Vyuo Vikuu, kuna habari kuwa...
Wana JF naomba tumjadili majid Mjengwa kutokana na hizi makala zake dhidi ya CDM. Alianza na maandamano ya Arusha sasa amekuja na hili la wabunge kutoka nje kupinga ukandamizaji wa CCM dhidi ya...
KITUO cha televisheni cha ATN ( Agape Television Network) kitaonyesha mechi zote 19 za Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kuanzia hatua ya raundi ya 16 itakayoanza Jumanne ijayo.
Kituo hicho ndicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.