Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Picha hiii imenishangaza
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Ukimwi umesababisha mke wangu aniache” Send to a friend Thursday, 17 February 2011 19:54 0diggsdigg Tumaini Msowoya “Sitaisahau siku niliporejea nyumbani kwangu nikitokea hospitali kupima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia sasa hivi kwamba huko kitunda kuna utumbo wa binadamu unaning'inia kwenye waya wa umeme mpaka hivi sasa ninapoandika, ni habari inayonishangaza na nimeona niirushe kwa faida ya wanajamii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesikitika sana na uamuzi wa TANESCO kukata umeme huku mimi na familia yangu tukisubiri tamko au mwongozo wa haraka haraka kutoka kwa uongozi wa JWTZ au wataalamu wa mabomu ili tuweze kujua nini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mh. Yusuph Makamba leo amesababisha kizaazaa maeneo ya Tegeta baada ya kujipendelea maji ya kisima huku wananchi wenzake wakikosa maji kwa muda mrefu. Wakilezea tukio hilo kwa Mwandishi wa ITV...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
YouTube - Habari za Kitaifa toka ITV(20-02-2011)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nimeshikwa na Butwaa!!!Mimi sijui kama nipo Tanzania Nchi yenye Serikali!au Nipo Somalia??Nchi inayojiendeshea kienyejikila kukicha!!Aiingii akilini kama kweli Nchi hii yenye utawala tena...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF nawaomba tukumbushane ni kama sasa tunaelekea kutaka kupoteza na kuzima moto wa kushughulikia Katiba mpya.Kama kawaida yetu watanzania tunajidai tunajadiliana kwa muda mfupi halafu eti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makombora yatua nyumbani kwa Pinda Send to a friend Sunday, 20 February 2011 09:00 0diggsdigg MWANANCHI LASHUHUDIA, ASKARI WAFUTA PICHA KWENYE KAMAERA...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama wanyama wote wataenda mbinguni au motoni, what about mende na sisimizi?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Yaani nilikuwa naangalia kipindi cha mapishi mida mchache uliopita ,wakionyesha sijui wanaita Bif diana ,sasa kubwa ambalo niliona aibu wakati nikiwa na wageni zangu kutoka Ulaya tukiangalia ,aibu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa wanaoolewa cost za umeme kupitia LUKU wanisaidie Mimi ninatumia LUKU nyumbani kwangu,mara ya mwisho kununua umeme wa LUKU ilikuwa 22/12/2010.Sasa juzi umeme ulikwisha gafla na mimi nikaona...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
jamani serikali imetangaza kwamba itagaramia mazishi yote na jana walikuja kwa jirani yetu wakatangaza watatoa sh.1.5m kwa ajili ya kusafirisha na watato mchele na sukari na mafuta hiyo ilikuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya kulidanganya bunge kuhusu mauaji ya Arusha na kugundua kuwa kweli hakuwa sahihi (Kutokana na Spika kutokumhoji tena Mh.Lema), nilitegemea Waziri Mkuu angetumia fursa ya kuhairisha bunge...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ivi m2 anaye hicho cheo cha waziri kivuli anakuwa na majukumu gani hasa?
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Jana wakati jeshi la Tanzania linatoa hoja tofauti pamoja na kujibu maswali ya waandishi wa habari kutokana na milipuko ya mabomu yaliyotokea kule G/Mboto na kuadhiri maisha ya Watanzania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nikiwa Mdau wa Elimu ninayomasikitiko yangu kwa kuona shule ya Bweni na Kutwa Bunju Girls secondary school haina walimu wala kiongozi, tangu kuanza kwa mwaka huu, watoto wapatao 500 hawajapatiwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Siku zote najiuliza lakini sipati majibu nisaidieni wa JF, hivi hawa sisiem kwanini walitumia mafweza meengi sana kwenye uchaguzi uliopita huku wakijua wana uwezo mkubwa wa kuchakachua matokeo ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
gazeti l la Rai Feb 17, 2011. ktk gazeti hilo nimejionea sababu halisi za kupaa kwa bei za mafuta nchini. Nimekua nikisikia Burundi na nchi zinazopitisha mafuta yao hapa nchini bei zao ziko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeangalia ze comedy Tbc 1 sijaipenda hii kwenda pale uwanja wa wa uhuru na kuanza kuigiza hukuwa wahanga wa tukio hilo wakiwa na majönzi na simanzi nimechefuka na hii
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom