Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hakuna kiumbe chochote chini ya jua ambaye hana mama,hakuna binadamu yeyote ambaye hajui umuhimu wa mama,hakuna asiyejua uthamani wa mama ktk malezi na kukufanya uwe ulivyo ,kesho tarehe 7-march...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu, Hii taarifa nimeisikia lakini sina hakika kama ilishawekwa humu jamvini. Leo nimeiona kwenye Michuzi. Wenye habari tafadhali tuhabarisheni zaidi. Hii dawa inafanya kazi kweli? Kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ndugu wana JF, nakumbuka kipindi cha usajili wa namba za simu TCRA walitoa angalizo kwamba yeyote ambaye hatasajili namba yake ya simu ya mkononi, namba hiyo haitatumika tena mara baada ya muda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari za weekend wana JF? mie jamani nimepewa nyumba na baba(ya urithi) haijaisha imejengwa mpaka kwenye 'lenta' ni ya vyumba vinne,sebule na jiko je gharama za kuimalizia itakuwa kama shilingi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Line yangu ya voda nilikuwa nimeismiplace. Nikaenda vodacom mlimani city ili nipatiwe namba ile ile. Nikamkuta dada mmoja na kumueleza shida yangu. Akaingiza ile line kwny computer ghafla akageuka...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
MAONI KUHUSU KAURI ZA VIONGOZI WA SERIKALI ZIDI YA MAANDAMANO YA CHADEMA baada ya serikali kutoa kauri kupitia viongozi wake mbalimba kuhusu maandamano ya chadema lifeofmshaba imekua ikifanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kunukuu moja ya barua ndefu za Jenerali Ulimwengu kwa raisi JK alizomwandikia siku chache mara baada ya kupata ridhaa ya NEC na TISS kurudi ikulu kwa awamu ya pili.. Na nukuu kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UDP ni miongoni mwa vyama vya siasa hapa nchini, ambavyo vimepoteza umaarufu wake. Hali hiyo imekifanya chama hicho kupoteza wafuasi wake karibu katika nchi nzima, kiasi kwamba hivi sasa chama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuna nyepesi zinasema Serikali ilitenga katika bajeti yake karibu Tshs Billion48 kwa ajili ya mikopo kwa watumishi wa Serikali ili waweze kununua vitu kama Magari, Samani za ndani na Matengenezo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nilikuwa natafuta mbuga za wanyama za nyumbani.. nimeshangaa sana kuona kuwa ni mbuga moja tu iko online, Saadani National Park ndio pekeee unayoweza kuipata online.. Cha ajabu the might...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tangu mwaka 2005 tumekuwa(baadhi yetu) tukifuatilia kwa ukaribu utendaji wa viongozi mbalimbali hapa nchini, pia hotuba zao na namna wanavyojibu matatizo na maswali ya wananchi kwa maneno na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hey! habari zenu wapenzi wa Jf? nashukuru sana kwa aliyetujulisha kuwa tunaweza kutumia Itv online tuliyopo nje ya nchi, asanteni sn maana mm binafsi sikujua. Sasa ninaomba msaada kidogo mbona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Largest passenger plane in the world, Lufthansa Flight 400, makes inaugural flight to New York City BY David Handschuh DAILY NEWS STAFF WRITER Saturday, March 5th 2011, 4:00 AM...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna taarifa kuwa Jwtz wanatarajia kulipua bomu lilijichimbia ardhini maeneo ya Buyuni jijini Dar.mlipuko huo unatarajiwa kutokea mida ya saa 5 asubuhi ya leo.wakazi wa maeneo haya wametakiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Madini yote Tanzania,Mbuga za wanyama Tanzania,Mlima mrefu Afrika Tanzania,Rais mwizi mchakachuaji asiye na aibu,mbinafsi,malaya,mwoga,fisadi na mnafiki Tanzania,Samaki wa maji baridi na maji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkurugenzi wanyamapori ang'olewa Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 4th March 2011...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
MWINJILISTI wa Kanisa la Pentekoste la Mto wa Mbu, Jackson John ambaye alikuwa mmoja kati ya waliojeruhiwa kwenye mapigano baina ya waumini wa madhehebu ya kiislamu na kikristo yaliyotokea...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
kwa anayefahamu kuhusu taarifa/habari za kutokewa na Bikira Maria kwa mtoto mmoja huko Kibosho mkoani Kilimanjaro - Tanzania miaka zaidi ya kumi iliyopita, napenda kufahamu alipo kwa sasa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na nayoona niwepo mazingira ya hospitali nimeona kuwa mwajiriwa wa serikali katika kada za afya tena akiwa wale wa ngazi za chini wanapata haya:- 1. Wanasiasa na watumishi wa serikali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Members can you imagine - If by any chance someone had come up with the suggestion of advising all the victims to divert from the stadium and go straight to the "white house" ... would have...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Back
Top Bottom