Wapendwa kuna jambo linanikera sana.Ni tabia ya wenye magari kuwasha 'FOG LIGHTS' Sijui wanaona inapendesheza gari kwani nyingi ziko kwa chini.Lakini sijui wanajua kwamba kwanza hapa DAR hakuna...
The Tanzanian tour operators have obtained the monopoly for tourist activities in the Kilimanjaro region.
The Tanzanian ministry for tourism, via the intermediary of the Tanzania Tour Operators...
juzi juzi pinda katuibia eti ina muhuma sana wananchi kuvunjiwa
nyumba wakati ukweli ni kwamba meya wa ilala JERRY kwa kushirikiana
na mafisadi wa outdoor walikwenda kushitaki wa waziri mkuu hayo...
Kuna hearing ktk Congress in USA, ambayo inaquestion Muslim Community. Ktk mpango huu kuna mpango maalum wakufanya Wamarekani kufear na Uislam, kuongeza chuki na Uislamu.
Je hii ni Chuki ya...
The government might lose four factories worth over 10bn/-, including a cotton ginnery and a coffee processing plant, for failure to pay its debts to various stakeholders estimated at 1.5bn/-.
The...
MWENYEKITI wa Chama cha Wanawake Madaktari (Mewata), Dk. Marina Njelekela juzi alitunukiwa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Dk. Njelekela...
Kipindi kifupi tu nimekuja kubaini hivyo, Nipale wenzetu wa Tanganyika wanapo sema sisi na Wzanzibar ni ndugu? Sasa tuangalie kweli sisi na Vichogo ni ndugu udugu huo umetunganisha wapi sisi kuwa...
wakuu naomba mawazo yenu asa kina dada kuna kosa gani kumweleza rafiki yako wa kike kwamba hali yetu ilivyo atuwezi kuendelea tafuta m2 mwingine na yote yanatokea baada ya yy mwenyewe kufanya...
Two British investors who were forced to leave Tanzania in 2008 after a land conflict with a local dignitary are to take their case to international arbitration.
The Silverdale Farm scandal could...
Baada ya zoezi la kutaka kuuza jengo la ATCL akisshirikiana na Mwenyekiti wa Cotwu taifa
CEO wa ATCL Mpaka mh waziri akafikia kuchukua hati za jengo,Mh d mattaka sasa amekuja na njia nyingine kwa...
Kati ya evolutionary events zilizotokea katika zama hizi hi sim za mkononi. Kwenye miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000, umaarufu wa simu za mkononi ndio ulikuwa unakuja juu Tz. Kwa...
Nimesikiliza kwenye kipindi chake cha jahazi anabisha kuwa hakuna miujiza ya uponyaji . Lakini kwa walio wa Kristu wanaamini kila jambo linawezekana endapo utaomba kwa imani . Au kibonde anaabudu...
Bintiye mzee makamba wa Vodacom Mwamvitta Makamba, alihonga hela taslimu Millioni 5 kwa Irene Kiwia na Nancy Sumari wa Frontline Management ili apewe tuzo la Woman of the Year. Inasemekana...
kwa mara ya kwanza nawiwa kumpongeza ndugu kikwete kwa kuanza kitimiza ahadi zake ,lol!!ameanza kuleta pikipiki za aina yake toka sauzi afrika ,khe!!i thought bajaj would be better !?haya bwana...
Aliyekuwa mshindi katika kura za maoni ndani ya CCM katika jimbo la Iringa mjini kupitia CCM Frederick Mwakalebela na mkewe Celina leo wameachiwa huru na mahakama ya hakimu makzi Iringa katika...
Waziri mkuu mstaafu ,Fredrick sumaye amekirejesha darasani chama chake CCM .sumaye anaamini ccm hakijahitimu au kimepotea njia.anataka kisome upya ili hatimaye kiweze kutunikiwa cheti cha...
Kuna jambo linanisumbuaga sana unapita njiani anapita mdada ana kamvuto fulani ss hapa kunatofautiana ww kama mwanaume unamtupia jicho la chabo kukubali ule mvuto unaporudisha macho uendelee na...
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia kauli za viongozi mabalimbali hasa bungeni(mawaziri) kwamba wafanyakazi wanaopangiwa kazi katika mikoa ya pembezoni wanaacha kazi.Napenda kufahamu tofauti iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.