Nachunguza maisha yangu nilipofikia na nilikotoka. Baba na Mama wamehangaika sana kutulea. Pengine wamefanya hivyo kwa sababu walituleta duniani na hivyo hawana budi kututimizia yote...
Katika bank ya NBC makao makuu pale posta kumetokea hitilafu ya umeme ambapo chanzo chake hakijafahamika!shughuli zote zimecmama na wafanyakaz wote wako nje ya jengo kupisha uchunguzi chin ya...
NI ukweli usiopingika kwa waafrika, kwamba kujinunulia jeneza, eneo la kuzikwa au sanda wakati uko hai, ni uchoro.
Lakini jijini Dar es Salaam, hali ni tofauti, baadhi ya watu wameanza...
WANA JF naomba kuuliza.........
mi nafanya kazi kwenye kampuni moja hapa TZ.........
Nakila mwezi nakatwa makato fulani ilikulipia baadhi ya sehem ya mkopo niliokopa pindi nikiwa chuo...
Sote tunapenda kihifadhi mazingira
Tunapenda hewa safi na mazingira yenye kijani kibichi ya kuvitia
Kwakuwa umeme wa Tz si wa uhakika, kwa wapenda mazingira gesi ndo ilikuwa mkombozi
Katika...
Mbunge wa Kahama (CCM), James Lembeli, amesema anaishangaa serikali kuibuka na kuelezea hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Migogoro ya Biashara (ICC) kwamba, imeliamuru Shirika la Umeme nchini...
A lot of buzz on Facebook and Twitter yesterday over an article that suggested the calendar has been switched meaning your zodiac sign may have changed.
The apparent new changes started in...
Rafiki yangu kaniomba nimsindikize benki achukue pesa akanunue kiwanja kaenda kaunta kachukua pesa kanituma nikamnunulie maji akidai ananisubiri hapo ndani ya benki kwani kuna receipt anaingojea...
Kutokana na kusimamishwa kazi kwa aliyetajwa hapo,wenye nyepesinyepesi watugaie.au aliyesoma kwenye gazeti la mtanzania hii kuhusu hii cheche atupatie nakala.Ni hayo tu
Amini usiamini afande Tibaigana ni Suka anasanya route ya Muleba - Biharamuro na kigari chake aina ya NOAH. Nimeshuhudia mwenyewe ila kidogo inamwia vigumu pale akiingia kituoni/standi kwani...
kwakuwa miaka mingi wananchi tumekuwa tukishirikiana pamoja mambo mengi ya kijamii, nilazima wanasiasa mjue kuwa sisi tuliishi tukijua dini zetu ni pale tunapokuwa kwenye nyumba za ibada na kwenye...
Heshima yenu wanajf, naombeni kuwashirikisha katika hili,hiv hii mitandao yetu ina nini? Unampigia mtu cm unaambiwa namba haipatikani wakati huyo m2 uko nae,mara unaambiwa salio halitoshi wakati...
Pius Katunzi
Fleeing Tunisia President Zine el-Abidine Ben Ali is such a disgrace and traitor to the steel nerved African leaders that the only prize he deserves is scurry from his presidential...
Hapa kwetu Tanzania tumeshuhudia raia wakigeni kutoka kenya akipoteza maisha katika vurugu za kisiasa zilizotokea huko Arusha. hali inayofanana na hii imetokea na wenzetu wanakabiliwa na kesi...
Monday, 17 January 2011 20:24 0diggsdigg
Frederick Katulanda, Mwanza
POLISI mkoani Mwanza, imewakamata watu wawili akiwamo afisa wa wanyama pori, Allchraus Jacob (31), wakijaribu kuuza...
I am please to share with the group that Alhamdolliha, we have received overwhelming response on Baariz The Ultimate Treatment for HIV/AIDS.
Currently patients of HIV/AIDS in over 30 countries...
Heshima zenu JF!
Kwa wale waliopitia usafiri wa mijini...au wanaendelea nao.
Nimekua naona hizi adha za Dala dala,vi-ford,express... Ukipenda ziite vyovyote ujuavyo...ni haya mabasi yetu ya...
Ukodishaji Reli ya Kati matatani
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima
UKODISHAJI wa lililokuwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa mwekezaji wa kigeni uliozaa Kampuni mpya ya Tanzania Railway...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.