Wikiendi hii nilikwenda Silversands Hotel na hali niliyoikuta huko inasikitisha sana. Majengo yamechakaa mno na sikuona dalili za kuwa kuna wageni wanaolala pale, sehemu inayofanya kazi ni bar...
Ndugu wana jf wenzangu naangalia mawaidha ya fisadi wetu lowasa wakati wa uzinduzi wa studio ya wasanii wa tz. Anaendelea kusisitiza eti tz inaongoza kwa kuwa na amani ukilinganisha na majirani...
SAKATA la polisi kuua raia kwa risasi katika kata ya Ubaruku Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya limeingia katika sura Mpya baada ya wananchi kumtaka Mkuu wa Wilaya hiyo Kanali Kosmas Kayombo...
Kwa Dr Harrison Mwakyembe na wahamiaji wapya wa Kigamboni,
Yafuatayo yalinikuta wakati nahamia kigamboni:-
Nilipofika na gari aina ya Canter tani tatu sehemu ya Kulipia, ambayo mara nyingi...
Viongozi wa dini wamnusuru mfanyabiashara
Na Gladness Mboma
SERIKALI wilayani Mbarali imewapongeza baadhi ya viongozi wa dini kwa kuzima jaribio la kutaka kuuawa kwa mwekezaji wa shamba...
Wanafunzi 400 wajisaidia porini
na Ambrose Wantaigwa, Tarime
Tanzania Daima, 17 January 2011, pg 6.
SHULE ya msingi Nyairoma iliyoko katika kata ya Sirari wilayani Tarime yenye wanafunzi...
Ndg wanajamvi,
nimekuwa nikifuatilia sana baadhi ya matangazo na bahati nasibu zinazotangazwa na wenye mitandao ya simu kama VODA, ZANTEL ,TIGO NA SASA AIRTEL.
mfano Zantel walikuwa wanatangaza...
What are the common motivators of life you know that motivated you to become who you are ?
Watu gani au kitu gani kimechangia kukufanya wewe uwe jinsi ulivyo?
Mwenzenu namshukuru sana 1.Bosi...
Greed of the Tunisian president's wife that drove a nation onto the streets to start a revolution
Last updated at 1:19 PM on 16th January 2011
President Ben Ali's wife Leila: She was...
Wanajamii naomba majibu kwa maswali haya yanayonitatiza!
Hivi ni lazima kuwajali wazazi waliokulea unapoanza kujitegemea kimaisha?Au kukulea ni jukumu lao,hivyo huhitaji kurudisha fadhila?mila...
wanajamii naombeni msaada maswali haya yanayonitatiza
Hivi ni LAZIMA kuwasaidia wazazi waliokulea?au si lazima kurudisha fadhila kwa maana lilikuwa jukumu lao kukulea?je mila zetu za kiafrika na...
Baada ya serikali kulaumiwa kuwa imeshindwa kuajiri walimu waliohitimu leo baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali wamepangiwa post zao. Ni kipindi cha wahitimu kulia na kukenua meno kutokana na...
Jamani wana jf inakera saaaana! Kuna tetesi kuwa eti sherehe za kutimiza miaka 50 ya UDSM zikiambatana na uchangiaji wa student center zitafanyika ikulu mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza...
A new ZODIAC Chart is causing confusion. It contains 13 star signs instead of the usual 12. Though some Astrologists aren't buying it and say don't change your sign yet.
Here is the new chart...
Wanajamvi nataka tuvunje rekodi kwa kutunga story ambayo wanajamvi wote tutachangia...
Taanza kwa Sentensi moja, na kila mtu akitaka kuchangia anaweza akapost sentensi yake ambayo itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.