Kwa kawaida mtoto mchanga huanza kuota jino lake la kwanza anapofikisha umri wa kati ya miezi sita na mwaka mmoja, hali ni tofauti kwa mtoto mmoja wa nchini Uingereza ambaye amewashangaza watu...
Mwanaume mmoja wa nchini Italia ambaye alipigwa risasi ya kichwa mtaani amewashangaza madaktari dakika chache kabla ya kufanyiwa upasuaji baada ya kupiga chafya na risasi kutoka kupitia puani...
Rais Kikwete awaweka njia panda maaskofu, masheikh Send to a friend
Monday, 21 June 2010 08:53
Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa...
Nina get together ningefurahi kama nitapata wanajamii tukafahamiana!itafanyika Dar siku ya tarehe 23/01/2011 naomba PM zenu kama mtashiriki majibu kwa wale ambao hawatafika.
hivi nundu ya Dr Dr Dr (Fitna, Majungu, Unazi) Makamba usoni inatokana na nini? anayejua jamani maana kama zile kuna mtu alimpachika kipepsi akatoboa paji! Niambieni wajameni mie nataka...
Mwili wa marehemu Paul Njuguna Kaiyehe (26), raia wa Kenya ambaye aliuawa na polisi kwa risasi wakati wa maandamano ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha Januari...
Polisi na usalama wamekuwa wakiwasumbua majeruhi waliolazwa katika hospitali mbalimbali,habari kutoka ndani ya jeshi hilo zinadai baadhi ya majeruhi wanaelewa vema tukio zima la tarehe 5,hivyo...
POLISI wanatuhumiwa kumtelekeza mtoto Juma Hamza (12) waliyempiga risasi na hivi sasa hali ya mtoto huyo ni mbaya kiasi cha kumlazimu kutolea haja kubwa katika kidonda kilichotokana na jeraha la...
Rais gani?
Nchi inateketea. Amejikunyata tu kama kuku wa mdondo?
Kikwete unaniudhi.
Kweli sikukupigia kura lakini ninaamii hata waliokupa kura wanajuta kimyakimya.
Rais gani unasubiri watu...
Ndugu wanajf nikitathimini kazi ya nguvu ya umma ikishirikiana na media zetu (mwanahalisi, raia mwema, mwananchi, majira, taifa letu, kulikoni, guardian on sunday, itv, star tv, mlimani tv na...
Dr Conrad Murray
Jaji amemwamuru daktari binafsi wa Michael Jackson ashtakiwe kwa kuua bila kukusudia.
Jaji Michael Pastor alitoa uamuzi huo dhidi ya Dr Conard Murray katika kesi ya awali...
Wakati waungwana tukiwa kando kuangalia kina cha maji ghafla yanaibuka mambo mazito ambayo watawala wetu wamekaa kimya kiasi wananchi tunaanza kuongozwa na utashi binafsi na ndiyo kiini hasa cha...
Kikwete alisema anataka akumbukwe, amesema hayo katika nafasi mbalimbali nchini, na kweli sasa ametimiza lengo lake la kutaka akumbukwe.
- Mauaji ya Arusha
- Kuwanadi vinara wa ufisadi majukwani...
Wanaume watano waliopatikana na hatia ya kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Iran, wameuliwa kwa kunyongwa.
Wanaume hao ambao majina yao wala nchi wanazotoka hazikutajwa, walinyongwa jana...
Wakati Jeshi la Polisi Makao Makuu nchini ikitoa taarifa ya kutetea hatua iliyochukua kuua waandamanaji, serikali imetoa ubani wa kiasi cha shilingi 10 millioni kwa familia mbili zilifiwa na...
Wakati Jeshi la Polisi Makao Makuu nchini ikitoa taarifa ya kutetea hatua iliyochukua kuua waandamanaji, serikali imetoa ubani wa kiasi cha shilingi 10 millioni kwa familia mbili zilifiwa na...
likuwa 2009 nilipokuwa nyumbani Songea Ruvuma. Nilikuwa nimeenda kusuka kwa waMasai, sehemu ya kusukia ilikuwa nje tu. Tena barabarani kabisa au nisema kando ya barabara.
Watu wakawa wanapita...
Hata kama baadhi yetu tutakataa kukubali ukweli ni wazi Jk ni rais wa kwanza katika historia ya nchi hii kuchukiwa na wananchi. Kwa upande mwingine hata yeye anaonekana hawapendi Watanzania. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.