Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Air Tanzania - Airbus deal said to be off By Wolfgang H. Thome, eTN | Jan 13, 2011 (eTN) - The Air Tanzania management clearly did not want to wait for a call "from above" and swiftly issued a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna taarifa isiyo rasmi kuwa mh mbunge wa Arumeru Mashariki ni mgonjwa sana. Mwenye taarifa zaidi please tuambie.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hello great thinkers. Natumaini mpo poa. Kama wewe ni mmoja wa wanaotarajia kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi topic hii inakuhusu kwa namna moja ama nyingine. Yapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tiini mamlaka zilizowekwa na Mungu si zilizowekwa na wanadamu (NEC)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hadi leo amekaa kimya kuhusu malipo ya Dowans. Sijui sisi wazalendo tumweleweje?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika gazeti la mwananchi la leo kuna mahojiano yaliyofanywa kati ya mwananchi na mwanasiasa mkongwe nchini Msuya ambaye aliwahi kushikilia nyadhifa za juu katika uongozi wa Tanzania. Nilipokuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mama mmoja wa makamo amezimia mchana huu katika ofisi za NSSF zilizoko Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa karibu na mama huyo kabla hajakutana na dhahama hiyo, ni...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Pope Benedict XVI has formally approved a miracle attributed to his late predecessor, paving the way to John Paul II's beatification on 1 May. The process of beatification, or declaring the late...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Tufyaakwa....mbanuu http://www.facebook.com/video/video.php?v=118455107455
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wewe zomba wakati mwingi unaniudhi na kunikera sana. Bado una mawazo ya tanu. Eti System at Work. Sasa, ingawa dawa ya DDT (dichlorodiphenyltrichloroethane) ilipigwa marufuku kutumika mimi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Just read from mchuzi blog membe will sue the mentioned newspaper and another one. kazi ipo mwaka huuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Nimegundua ili ufanikiwe kama mfanya biashara au mfanyakazi wa ofisini inakulazimu kunywa pombe, kwa bahati nzuri au mbaya tangu nimezaliwa 2 decades na ushee ago, sijawahi kunywa pombe...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Nikiona na cheka sana kwanini TanRoad wamechukua hatua hii ya kuweka X mabango Jiji zima kwakusingizia mabango yapo kwenye Barabara zao??wakati kuna mabango yapo kwenye viwanja vya watu nayo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF wenzangu naomba kujua nini umuhimu wa GPA kwenye vyeti vya bachelor,Masters na PhD na je nchi zote duniani ni lazima zitoe vyeti vikiwa kwenye mfumo huo??na pia mfano narudi Tanzania na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza, sijui ni mm tu ninae-experience hiyo kitu au uzee macho hayaoni....... Ukienda mgahawani, hotel (za uswazi na hadhi kidogo, sijui za hadhi za juu maana sijawahi enda huko)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Send to a friend MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mustapha Sobodo ametoa Sh10 milioni kwa familia mbili ambazo vijana wake waliuawa kwa kupigwa risasi na polisi Jijini Arusha wiki iliyopita. Hatua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa akuna asiependa globalization kama wanavyoita watanzania ila kuna huu upupu ni hatari sana umekuwa ugonjwa mbaya kuliko ukimwi hili swala la kugawana namba ni ugonjwa mbaya...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari nilizozipata hivi punde, kwenye maduka ya namanga ni kwamba umelipuka moto mkali na Ultmate Security nasikia wanaelekea kwenye tukio, Mwenye habari zaidi na picha atujuze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huu wimbo haujawahi kuniboa. YouTube - SALOMON MUKUBWA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Follow me Sebrina Smith by LiteGreen House Made Of Newspaper Lasts For 88 Years What began as a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom