Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sijui niite dowansei sijui niseme je wapendwa..naona hizi mbolea ni dili la ajabu kwa waliosikia majuzi dk mwakyembe akiapokea malalamiko ya wizi wa mbolea za ruzuku na habari zinasema zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF, ni kweli Tanesco wanatukosea mengi, kama ilivyo kila chombo cha selikali yetu, lakini ebu angalia wamesambaa hadi wapi, mtandao wa umeme mkubwa kiasi gani, kisha jaribu kufikiria...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
BAADHI ya vurugu za kisiasa zinazotokea hapa nchini zimedaiwa kuchochewa na wafadhili wa nje kwa kutoa fedha nyingi. Akizungumza Dar es Salaam jana Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utawala...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, nimepita Mwenge asubuhi hii mida kama ya moja na nusu hivi wakati naeleka kibaruani na kukuta makundi ya watu na FFU wakiwa kwa mbali kidogo huku nikisikia amri fulani inatolewa. Naomba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nadhani mafunzo yao ya upolisi kipaumbele chake vurugu tu na sio kufuata utaratibu wa kujali raia. Nchi zingine Polisi unaweza kumtegemea kabisa akuongoze uwe salama hata kama ni mgeni kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MGOGORO wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (Daruso) umeendelea kuvuta kasi baada ya Utawala Chuoni hapo kuingilia kati na kuunda kamati ya watu watatu itakayofanya kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Send to a friend SERIKALI hatimaye imetangaza kuwaajiri walimu wapya 16,000 waliokuwa wakihaha mitaani kwa kuhoifia kutoajiriwa baada ya kumaliza masomo yao tangu Mei mwaka jana. Kwa hatua hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli wangu! Nahisi naendelea kupata Master sasa... Vipi na wewe?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nikiwaangalia kwa makini wasoma habari wa wenzetu, nabaini tofauti kubwa mno na hawa wa kwetu hapa nyumbani. Inanisikitisha mno ndugu zangu, kuwa tofauti hii hutuweka sisi kama jamii kwa ujumla...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tujitahidi kuyaweka hapa jamvini ili kila mshiriki ... Hata wale wanaosoma wapate kujifunza... Taja kitu chako chochote kitapotimia utajisikia raha sana.
0 Reactions
44 Replies
4K Views
NYUMBA nyingi za wageni zisizosajiliwa katika Manispaa ya Kinondoni zimesababisha kiwango cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kuwa juu kwa asilimia 7.8 ikilinganishwa na kiwango cha kitaifa cha...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
MKAZI wa Kijiji cha Mawenjeni Kata ya Mwika Kusini, aliyetambulika kwa jina la Msafiri Msuya (36) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka 9 na kumsababishia maumivu na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAPADRI wawili wa Kanisa Katoliki wamekufa maji wakiogelea katika ufukwe wa Bahari ya Hindi. Mapadri hao ni Katibu wa Ubalozi wa Vatican nchini, Degn Maxime (35), raia wa Ivory Coast na John...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UFISADI BODI YA KAHAWA MOSHI Wana JF, hii ni taarifa iliyotumwa na Mwanajamii mwenzetu kupitia mtandao binafsi, kama kuna mmoja wetu anawea kufuatilia na kutupa ukweli wa habari hii...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MKAZI wa Tambani Kitonga wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam Kiraryo Chacha (39), amejinyonga baada ya kuudhiwa na wenzake katika kilabu cha pombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Faustine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba kujua bei za jenereta na pia niangalie nini wakati wa kununua? kuna zisizopiga kelele? Pia maduka gani wapo bei nzuri dar, kama kuna mji mwingine wanauza niambie pia. na utajuaje...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wandugu habari zenyu bana, Leo asubuhi tume report kazini kama kawaida, tukiwa tunaanza kazi tulisikia kishindo kwenye ngazi, tukakimbia kuangalia ni nini hicho kwa vile jengo letu ni lizee...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Kinadharia, kanisa linategemewa kuwa kimbilio la wanyonge na wanaodhulumiwa! lakini kinyume chake Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania limejiweka mahali pabaya kwa kushiriki uporaji na kupiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku hizi waganga wa kienyeji wanasajiliwa na wizara ya afya na wanapeleka dawa zao kwa mkemia mkuu. Sasa kuna dawa za kienyeji ambazo ni hatari , kama matunguri kwani yanaqua watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom