Kukiwa na malalamiko kuwa uteuzi wa Jaji Mkuu Othman Chande haukuzingatia taratibu na heshima za mahakama yaani uhodari wa Jaji na seniority, huku pia kukiwa na madai kuwa uteuzi huo ulishinikizwa...
Wanajf naomba mnisaidie labda mimi sikuelewa vizuri nilipomsikia camissiona chagoja akiongea kwa niaba ya polisi alipoongea na waandishi wa habari tarehe 13 jan 2011. Alisema
1. Polisi inalinda...
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watu 11 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi hatari wanaojihusisha na makosa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutumia silaha...
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amemkabidhi Balozi mdogo wa Kenya, Robert Mathenge, Sh milioni 2 za Tanzania, kwa ajili ya kuwezesha kusafirisha mwili wa Paul Njuguna Kaiyehe (26), kwenda...
WAZIRI katika ofisi ya Rais Kuratibu Uhusiano na Jamii, Steven Wasira amemshauri Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha, Thobias Andengenye kumaliza tatizo la waandishi wa habari kupigwa na...
HALI ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Iringa Mjini si shwari.
Hali hiyo inatokana na kuibuka kwa kundi la baadhi ya wanachama linalompinga mbunge...
Waandishi Habari wawili waliokuwa wamekamatwa nchini Uganda kutokana na kibonzo kilichochapishwa katika jarida lao wameachiliwa kwa dhamana, lakini wameamriwa kuripoti katika makao makuu ya Idara...
KATIKA hali isiyo ya kawaida wafanyabiashara wengi wameonekana kuzigomea noti mpya wanazopewa na wateja wao kwa kuogopa huenda wanafanyiwa utapeli.
Hali hiyo imejitokeza ndani ya wiki hii tokea...
Nchi inayoongoza duniani kwa kula rushwa 2010 ni nchi ya Somalia, Africa ikifuatiwa kwa karibu na nchi za Myanmar, Afganistan na Iraq. Nchi zinazoongoza kwa kutokula rushwa ni Denmark, New...
Mwanamke mmoja mwenye wivu sana wa nchini Marekani amefikishwa mahakamani baada ya kuzichoma moto sehemu za siri za mpenzi wake baada ya kushuku kuwa mpenzi wake huyo ana kimada nje.
Victoria...
Quite Handy Information, in case you were not already aware
4 IMPORTANT Things You Never Knew Your Cell Phone Could Do
For all the folks with cell phones...
WANAFUNZI 30 wa kike wanaosoma katika shule za sekondari wilayani hapa, wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na kupata ujauzito kati ya Januari hadi Novemba mwaka jana.
Akizungumza na...
Hivi sasa nchi yetu inapitia katika kipindi kigumu; kundi dogo la watu linaonekana limefanikiwa kukiteka nyara chama tawala na serikali yake, kiasi kwamba vyombo hivyo muimu kwa uhai wa nchi yetu...
Mkuchika na Wasira kwa nyakati tofauti wamenukuliwa na vyombo vya habari wakipumua kwamba "Wale wanaodhani Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha utarudiwa wasahau kwani uchaguzi ulishafanyika kwa...
Najiuliza sipati majibu, hivi karne ya 21 bado wa TZ tunahangaika na vibatari/ mishumaa tena mjini ? Ngereja na Mh. Kikwete hivi mnajisikiaje happ mlipo ? Kuachia ngazi mwasubiri nini ?
Kuna mkutano wa injili unaendelea kanisa la TAG Manzese B. Kibao chake kiko plae tiptop kama unaelekea ubungo kiko upande wa kushoto.
kuna mhubiri pale anafundisha vitu ambavyo kama kuna mtu...
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana kuhusu mstakabali wa hali ya watanzania kwa sasa kutokana na mfumuko wa bei ya vitu kama vile umeme Gas na mafuta kwa ujumla vitu vinavyohusika mojamoja kwa...
Wana JF Kwa mara nyingine tena polisi wanatetea na kuhalalisha mauji ya raia waliyoyafanya huko Mbarali. Kwa mujibu wa Advocate Nyombi, polisi walilazimika kuwafyatulia risasi wananchi ambao yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.