Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika hali inakanganya kabisa yaelekea TLR na TAZARA wana meneja masilahi mmoja na wamechoshwa na utawala wake wa kiimla wa kupuulizia mbali masilahi ya wafanyakazi...................sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MFANYABIASHARA, Pascal Matunda (50), mkazi wa Mikocheni amenyang’anywa silaha yake aliyokuwa akiimiliki kihalali, baada ya polisi kumkumata akiwa amelewa na amelala ndani ya gari alilokuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ............Tuna mihimili mingapi katika nchi yetu.......??? Nauliza kwa sababu 1. ...............Jaji mkuu anateuliwa na raisi.......... hiyo haimnyimi uhuru wa maamuzi hasa inapotokea...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Anyang’anywa silaha kwa kukutwa kalala kwenye gari Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 10th January 2011 @ 23:24 Imesomwa na watu: 198; Jumla ya maoni: 0...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TUMELAZIMIKA kurudia wito tulioutoa kwa Serikali juzi kwamba suluhisho la mgogoro wa umeya katika Jiji la Arusha unaweza kutatuliwa iwapo tu uchaguzi utarudiwa kwa kufuata kanuni na taratibu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vurugu kubwa zimeubuka eneo la Mbagala Kiburugwa, jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wenye hasira kuvamia jengo la ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kubomoa ukuta wa uzio. Vurugu hizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mgogoro mwingine umeibuka kati ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufuatia hatua ya polisi kukataa kuruhusu uwanja wa NMC kutumika kuwaaga marehemu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mama wa kambo anasemwa vibaya hata afanyapo mazuri,jamii inamwelewa vema kuwa simwema ingawa si kweli.sasa nauliza juu ya baba wa kambo jamii inamsemaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lionel Messi is again the master of the world’s soccer players. It is a mighty claim for a little fellow. But he deserved to receive the FIFA Ballon d’Or, the recognition as player of the year...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati vurugu zilizotokea Arusha kutokana na mvutano wa kisiasa baina ya CCM na Chadema kuhusu suala la Meya wa Jiji la Arusha akitaka kuwapo suluhisho la kudumu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu ya kujikimu sio kujenga Taifa kwani ukijenga Taifa linaliwa na wajanja hii haijakaa poa. Naombe mwenye kujua masuala ya TBS kwani gari yangu haijafanyiwa Inspection toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wandugu, leo nimesoma habari kuhusu chuo kipya cha Ulinzi na Usalama ambacho kitatoa degree ya masters ya kijeshi. Chuo hicho kimejengwa kwa mchango wa bilioni 4.4 kutoka China, na bilioni 2...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mkuu wa kaya vp tena hii nyimbo siisikii siku hizi. zile shamrashamra na ving'ora za nyimbo hii ya maralia haikubaliki ktk uzinduzi wake hatupati taarifa zake sokoni, nilitegemea unge imba hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hivi kwanini watanzania tunapinga kupanda kwa bei? au hatutaki maendeleo? kupanda kwa bei kunaonyesha tunaenda na wakati? jamani hivi kweli mtagoma kwa kasababu kadogo tuu ka kupanda bei na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakati huo huo, Jeshi la Polisi wilayani Songea, mkoani Ruvuma limezuia kufanyika kwa maandamano ya amani yaliyoitishwa na Chadema wilayani humo jana yenye lengo la kupinga uamuzi wa mkuu wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A blind boy sat on the steps of a building with a hat by his feet. He held up a sign which said: "I am blind, please help." There were only a few coins in the hat. A man was walking by. He...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Polisi mkoani Arusha wameingia katika msuguano kuhusu mahali pa kuagia watu wawili waliouawa katika vurugu za maandamano. Wakati...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa hapa TZ asilimia kubwa ya mapolisi ni wale either waliofeli shule au wanaingia upolisi baada ya channel zote za maisha kugoma. Utamsikia mzazi anamwambia mtoto wake, we cheza na shule utaishia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwananchi wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, kinatuhumiwa kuanza mchezo mchafu wa kuufanya mgogoro wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Arusha uliosababisha vifo vya watu watatu, kuwa wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niambie... 1. Busara hufanya kazi wakati gani na Hekima nayo hufanya kazi wakati gani? 2. Nini tofauti kati ya Busara na Hekima?
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Back
Top Bottom