JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limekabidhiwa msaada wa majengo ya Chuo Kikuu cha Ulinzi cha Taifa na Serikali ya China.
Akizungumza katika makabidhiano hayo Dar es Salaam...
Katika hatua nyingine, Chadema kimeanza kutembeza bakuli kwa wananchi kwa ajili ya kukusanya michango ya hali na mali ya kuwasaidia majeruhi waliolazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount...
Kuhusu hii issue ya magari yote yanayobeba wanafunzi kupakwa rangi ya njano na kutobeba abiria wa kawaida nadhani SUMATRA wamekurupuka bila kuangalia hali halisi ya maisha ya mtanzania
Kwa mfano...
Nimeamshwa na messege hii kwenye simu yangu nanukuu "Congrats!!! Your Mobile number has won 240,000 Pounds Sterling in the Ongoing NOKIA Mega Jackpot, for claims call: +44-704-570-6131 or Email...
Jamani mi naenda kulala naomba kwa uaminifu,naomba nimjue wa mwisho kulala hapa jf,kama ni wewe kabla hujalala,comment kwenye hii thread,kesho nitaicheki mshindi nitampa zawadi:a s 101::a s 101::a...
Wakuu nina ndugu yangu ambaye alipata udahili katika chuo kikuu cha TUMAINI campus ya Iringa na anachukua (BaEd). Tangu amejiunga hadi sasa hawajapata mkopo na katika kufuatilia bila mafanikio...
NIFAHAMISHE ilishuhudia jana watu wakiwa wamefurika katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani wakihangaika na usafiri wa kurudi mikoani baada ya stendi hiyo kufurika kupita kiasi na kusababisha...
ASASI binafsi inayoitwa UWEZO Tanzania, Mei mwaka (2010) huu ilifanya utafiti juu ya maendeleo ya elimu katika vijiji 1,140 kwenye wilaya 38, ikahoji watoto 42,033 wa shule za msingi, wenye umri...
MAJAMBAZI wamemchinja mlinzi wa duka la dhahabu katika Mtaa wa Misheni, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, na kupora masalia ya mchanga wa madini hayo.Mlinzi huyo, Bw. Fikiri Bundala (27) mkazi...
:coffee:Monday, 10 January 2011 22:43
By Ray Naluyaga,
Citizen Bureau Chief
Mwanza. In order to develop textile industry in Tanzania, the government has set up the faculty of textile...
Wanamgambo wa kundi la Al-Shabbab wa nchini Somalia wametangaza kupiga marufuku wanaume kusalimiana kwa kushikana mikono, kutembea au kuongea na wanawake ambao hawana uhusiano nao.
Wanamgambo wa...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon ambaye alizimia na kuingia kwenye hali ya koma ya kutokujitambua tangu mwaka 2006 ameanza kuonyesha dalili ya kuzinduka.
Waziri mkuu wa zamani wa...
Watu 708 wamejeruhiwa nchini Philippines wakati mamilioni ya watu walipopigania kuligusa sanamu la Yesu mweusi ambalo linaaminika kuwa lina nguvu za miujiza.
Tamasha la kila mwaka la waumini wa...
IJANA Maneno Juma amefariki dunia baada ya kutumbukia kweye shimo la choo wakati akiwa katika harakati za kutengeneza choo hicho huko maeneo ya Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam..
Marehemu...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi na kufanikiwa kuongoza Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini, Clement Kwayu...
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Profesa Mark Mwandosya amesema viongozi wakianza kutafuta mchawi aliyesababisha washindwe uchaguzi uliopita katika baadhi ya...
KIKOSI Maalumu cha Kupambana na Wizi wa Magari, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kimewakamata watuhumiwa watano akiwemo mfanyabiashara Ndama Shabani (38) maarufu kama Ndama Mtoto wa ngombe kwa...
WANANCHI wenye hasira wamemuua mtuhumiwa wa ujambazi aliyekuwa amepanga katika nyumba ya kulala wageni ya Inns lodge, iliyopo Kigogo wilayani Kinondoni na kuwajeruhi vibaya wengine watatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.