MKUU wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile ametoa muda wa wiki mbili kwa kila halmashauri mkoani hapa, kuhakikisha wanafunzi 3,150 ambao hawajachaguliwa kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa...
RAIA wa China, Li Guibang (42) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matano likiwemo la kusafirisha nyara za serikali zenye thamani ya Sh milioni...
Waitaka serikali kuingilia haraka kurejesha amani
Mbeya, Iringa wachangia fedha majeruhi waliolazwa
Maandamano mengine ya Chadema yazuiwa Songea
Viongozi wa dini ya Kiislamu wameungana na...
Wakuu gari yangu imekwama Bandarini inahitaji TBS Je kwa anayejua ni Toyota Noah 2002
Imekwama sasa sijui bei gani mwenye kujua
Sasa inakula Storage nisaidieni
Waungwana,
Nimejiuliza na kutafakari kwa kitambo pasipo kujua ya kwamba 'inakuwaje hakuna vyama vya wafanyakazi wa makampuni ya simu hapa nchini'. Ukiangalia makampuni haya ya simu yameshaota...
Katika hali ya kusikitisha kundi la Maaskofu wa Madhehebu ya Kikristo walikataa kufanya kazi na Meya Mteule(si wakuchaguliwa) wa Arusha na Baadaye Dhehebu jingine likajitokeza kumsapoti na...
Natoa wito kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi wa UDOM kutoa tamko la kuomba radhi kwa kitendo cha baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho kumshambulia mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi...
Nimeona hii From Yahoo........ Je unaweza Kudanganya Kuliko Hawa..?
Top 10 Best Lies ever:
1. On the phone to Phone company:
"My phone is cut off. Yes, I know I haven't paid yet, it's in the...
Kuna tabia ambayo imejitokeza ya baadhi ya viongozi wa CCM na wapambe wake ya kuwagawa watu kwa hoja ya DINI na itikadi za SIASA.Hii imechangia kuwagawa wananchi na kusahau maslahi yao na ya...
Jamani nimeitembelea hii website ya mbunge wa Bumbuli,
Kilichonistaajabisha ni lugha yake aliyoitumia kuwasiliana na wananchi wake.
Siku hizi unaweza kuperuzi intaneti hata kwenye simu ya...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Waziri katika Baraza la Mawaziri ameamua kumkosoa mwenzake hadharani kutokana na uamuzi alioutangaza hivi karibuni kwa Taifa.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
Nakumbuka kwa mara ya kwanza Mh. alipoingia katika utawala mwaka 2005 aliingia na mkosi wa majambazi, ambao waliingia nao katika mtandao kwa kasi ya ajabu...hata kabla ya kumaliza siku mia moja za...
Lilipotokea tukio hili ni Km kama mbili hivi kutoka kituo kikuu cha Polisi cha Mkoa huo na polsi walifika kunako tukio saa 2 usiku
MAJAMBAZI watano wote wakiwa na silaha mbalimmbali ikiwemo...
mimi ni mfanyakazi wa serikali. nina mke na mtoto. kazi yangu inanilipa vizuri tu. nahitaji kutembelea Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi ya wiki moja mwanzoni mwa march,2011. natafuta taarifa za...
Baba aua wanawe watatu, ajinyonga kwa katani Send to a friend
Sunday, 09 January 2011 20:59
0
digg
Anthony Kayanda, Kigoma.
MTU mmoja anayefahamika kwa jina la Filbert Kafonogo (35)...
ASKARI Polisi mjini hapa wameiomba Serikali kuangalia jinsi ya kuboresha nyumba wanazoishi walinzi hao wa Usalama wa raia kutokana na kile walichodai zimechakaa kupita kiasi na kwamba hali ya sasa...
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.
KATIKA kuhakikisha inapambana na kero ya msongamano wa magari Dar es Salaam, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iko katika hatua za mwisho za kuanza mchakato wa ujenzi wa barabara zake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.