Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
leo sasa hivi. wabunge wawapiga chini daruso na cabinet yake. pamoja na kujitoa rasmi Tahiliso. baada ya usrc kukaa!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kitendo cha Askari polisi wa Arusha Tanganyika kuwafyatulia risasi na kuwaua waTanganyika wenzao pale Arusha kwa amri ya Mzanzibari Shamsi Vuai Nahodha ni usaliti wa hali ya juu. Inasikitisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATANZANIA wapo njia panda kutokana na kuzuka kwa hoja mbili za kitaalamu zinazokinzana kuhusu ubora wa maji ya kunywa ya chupa yanayotengenezwa na kuuzwa nchini. Wataalamu hao wenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Imetokea huko combadia ambapo mtoto mmoja alitoweka nyumbani kwao akiwa na miaka minane!!Wakati anatoweka alikuwa na dada yake kwa bahati nzuri yeye alionekana na mzee mmoja akiiba chakula chini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mambo ya Ndani adanganywa Magereza Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 8th January 2011...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAKATI Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR -Mageuzi wakithibitisha kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) ya kupinga ongezeko la bei ya umeme Katibu Mkuu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tetesi sasa zimeanza kusikika serikali ya JK kuwekewa ngumu kupata misaada na mikopo kutoka mashirika mbalimbali ya kimataifa na wahisani kutokana na serikali yake kuteKeleza mauwaji ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
UJIO wa noti mpya katika mzunguko wa fedha hapa nchini, umeleta hofu kwa baadhi ya wananchi na wafanyabiashara mkoani hapa kwa baadhi yao kufikia hatua ya kukataa kuzipokea. Hali hiyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Walimu wahamishia familia kwa mmliki wa sekondari Send to a friend Friday, 07 January 2011 20:09 0diggsdigg Hemed Athuman (TSJ) WALIMU wa Sekondari ya Mkandawile na familia zao, wameweka kambi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WATU wawili ambao ni maofisa Magereza wamekufa na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Pingo wilayani Bagamoyo ikihusisha magari mawili likiwemo gari dogo mali ya magereza mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa majambazi yapatayo 7 yamevamia kituo cha mafuta nje kidogo ya mji wa Bukoba eneo la Kagondo, mnamo saa mbili usiku wa Leo na kumuua mlinzi na mmiliki wa kituo kwa risasi. Mmiiki...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Aliyejifungua mapacha watano atoboa siri na Ali Lityawi, Kahama SHIJA Maige, mkazi wa Kata ya Bulungwa, wilayani Kahama ambaye hivi karibu alijifungua mapacha watano, amesema...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
WANANCHI wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamefanya maandamano hadi ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo kulaani kitendo cha askari polisi kumuua raia mmoja kwa kukutumia risasi. Mbali na hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nawasalimia jamiiforum kweli siasa ya tanzania imefika mbali sasa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wala ‘kitimoto’ hatarini kufa kwa sumu Dar Send to a friend Friday, 07 January 2011 20:07 0diggsdigg Fidelis Butahe WATU wasiojulikana wanadaiwa kuua nguruwe 25 kwa sumu kali na hatimaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF, nimegundua kuwa wadada waJF hawako interested kuchangia political au posts nyinginezo mbali ya zile zihusuzo mahusiano na urafiki!! Kwa nini?? Tujadili
0 Reactions
73 Replies
6K Views
eti mnaonaje saa zingine mtu unaingia humu unakuta thread ina replies nyingi kama wengine tusio na muda kama mimi vigumu kusoma zote(kila posti) au kuona kama mwanzishaji kaongeza majibu ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za shughuli washikadau wa Jf! Ndugu yenu nimepata International wadau wanataka kupatner na local NGO ktk kufanya AIDS awareness and prevention campaigns,sasa mimi nimeonelea niwape dili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WATU wasiojulikana wanadaiwa kuua nguruwe 25 kwa sumu kali na hatimaye kuibeba mizoga ya nguruwe 18 kwa nia ya kuisambaza kwa walaji katika Jiji la Dar es Salaam. Mabaki ya nguruweiliyobaki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Askari wa Mgambo wakimkamata mama aliye kuwa akijiuzia bidhaa ndogo baada ya msoto wa maisha bora kwa kila mtanzania. Yaani ilikuwa balaa patashika nguo kuchanika Huyu mama kuna watoto na...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Back
Top Bottom