Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Attack Victim Reveals
0 Reactions
0 Replies
989 Views
MGOGORO wa kisiasa wa kuhusu uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha, unaweza kuzaa mpasuko siyo tu kwa wakazi wa Arusha, bali hata kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Katibu Mkuu wake, Yusuf...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
HATIMA ya watu 28 wakiwemo Watanzania 14 waliomo kwenye Meli ya MV Aly Zoufecar iliyotekwa na maharamia wakati ikisafiri kutoka Moroni katika visiwa vya Comoro kwenda Dar es Salaam Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CHAMA cha NCCR –Mageuzi kimeiomba Serikali kuwafutia mashitaka viongozi na wafuasi wote wa Chadema waliokamatwa wakati wa maandamano yaliyozimwa kwa risasi, mabomu na virugu juzi mjini Arusha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A one-eyed child suffering from a rare chromosomal disorder known as cyclopia was born in a hospital in Chennai earlier this week. The disorder occurs during pregnancy when the cells that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAPAMBANO makali kati ya Polisi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaliyotokea juzi na jana mkoani Arusha yameleta mshtuko mkubwa kitaifa, hata kuilazimisha serikali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAASISI isiyo ya kiserika inayojishughulisha na kuhudumia watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na masuala ya jamii, Agape Aids Control Programme (AACP), imetoa sh milioni 16 kwa Kata ya Lubaga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA kujibu hoja ya Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha aliyetaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) vikae kuzungumza namna ya kumaliza mfarakano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WATEJA wa Benki ya Barclays wamelalamika kuwa fedha zao zinaibwa pindi wanapotumia huduma ya kuchukua fedha kwenye akaunti kwa huduma ya mashine kupitia kadi za Visa za Benki ya Biashara ya Taifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MTOTO mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Moza Hassan (13), ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Manzese, wilayani Kinondoni, amejinyonga kwa kutumia waya wa umeme. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali si haina dini? kwa nini kiongozi kama rais anapewa kiapo akiwa ameshika aidha Biblia au Qu-ran? kwani akikosea wakati wa utawala wake ataambiwa amekiuka misingi ya dini yake aliyoapishwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
SERIKALI imesisitiza kwamba wajawazito wanatakiwa kupata huduma za kujifungua bila ya kulipia katika hospitali zote za serikali na kwamba ni makosa kuwataka wanunue baadhi ya vifaa. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SIKU chache baada ya serikali kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kuvunja mkataba na Kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart ya Dar es Salaam, mamlaka hiyo imeanza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vaccine for alcoholics works by making you feel sick after one drink Last updated at 4:41 PM on 7th January 2011 Alcoholics can build up a strong tolerance to the effects of drink over...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Zain walikua na rewards program. Nijuavyo ukinunua kampuni unamaliza na madeni yake na unachukua au unalipwa pia waliokua wanakudai. Sasa swali langu ni kua wale waliokua na rewards...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana lilitoa ratiba ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo watani wa jadi Yanga na Simba watakutana Machi 5 kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MMOJA kati ya watu watatu waliokufa kutokana na majeraha kwenye maandamano ya Chadema jijini hapa juzi ni raia wa Kenya. Paul Njuguna Kayehe, mwenye kitambulisho cha uraia namba 25066938...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, zaidi ya mahabusu 30 wa gereza la wilaya mjini hapa, wamegoma kwenda mahakamani na badala yake kulala barabarani kwa zaidi ya saa moja, hali iliyosababisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VITUKO vya mahabusu kufanyika kwenye Mahakama mbalimbali zimezidi kuendelea kujitokeza, ambapo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, mmoja wa watuhukiwa wa kesi ya unyang’anyi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom