Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
BAADHI ya wafanyakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wanadaiwa kutumia muda wa kuwahudumia wananchi kufanya kazi zao binafsi nje ya ofisi. Wamekuwa wakifanya hivyo, wakiamini kwamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nasikitika kusema hivyo lakini kwa sasa sina mbadala wa kauli yenye matumaini! maana kila sekta ni ujinga mtupu! Afya, Siasa! Elimu! maendeleo ya jamii! na mengine mengi! utafikiri hakuna watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wanaandamana bila kuleta vurugu, hatima yake wanapigwa mabomu na risasi! Kwanini Polisi wazembe wa Tanzania wasipambane na Majambazi ambayo yanatoa roho za raia wema hasa huko Temboni?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The alleged terrorists on this list below have been indicted by sitting Juries in various jurisdictions in the United Republic of Tanzania for the crimes against Humanity, Stealing of Public...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
JINA la Mazengo Chalula si geni masikioni mwa watu hasa wale wa Kanda ya Kati. Ni la Mtemi wa Wagogo, moja ya makabila ya wenyeji wa Mkoa wa Dodoma ulioko katikati mwa Tanzania. Mtemi Mazengo...
0 Reactions
2 Replies
20K Views
Walimu waliokimbia ushirikina watakiwa kurudi na Moses Ng'wat, Mbozi WAKATI serikali ikiwataka walimu 12 wa Shule ya Msingi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Viongozi wa cdm hawana kesi ya kujibu,hivyo wameachiwa huru ingawa wataelekea mahakamani nadhani itakuwa SHOW. Nawasilisha....
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mara mambo ya katiba mpya Then fujo Arusha Mara hii: one of Assange's employees at WikiLeaks had leaked the last big chunk of the documents to the Guardian i found it very funny...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba ipo boko, maeneo ya chama. Ina vyumba vitatu ikiwemo masterbedroom, ina public toilet ndani, jiko na store, ina dining room kubwa kabisa, ipo chini ya mita 300 kutoka bagamoyo road. Vyoo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DO YOU WANT TO KNOW WHAT STRESS IS? A beautiful girl asks you for a ride home. On the way she faints and you take her to hospital. The doctor says; Congratulations!!!!. You are going to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ULIMI una uwezo wa kuuma kuliko meno. Methali hii inatukumbusha kwamba maneno anayotamka mtu yaweza kuleta maumivu au kumwumiza mtu sana. Yatushauri kupima maneno kabla ya kuyatamka yasije...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Sijamsikia mtabiri bigwa Africa mashariki na ya kati, Amerika na ulaya akitoa tamko,,kunani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
YouTube - Homeless Man Ted Williams' Golden Radio Voice
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni muhimu sasa. Fungua link hii. Ukishasikiliza jiulize wewe unaplay part ipi? Builders or destructors? May God have Mercy on us! Rev. Adam Haji Mohammed - Testimony | Zoopy | Share videos...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF ninaombeni kujua hivi nchini uingereza kuna makabila? na kama yapo naomba orodha yake japo kwa uchache, kwa mfano Tanzania kuna Wahehe wanaongea kihehe, Wahaya wanaongea kihaya...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Wana jf....... Hivi kwanin kwenye sendoff wazazi waupande wa kike mara nyingi huwa wanalia ? Najiulizaga wanalilia nn?.ni furaha .majonzi au wanahofia kwa jinsi mtoto wao atakavyo anza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hebu Google haya majina halafu nipe feedback: 1.Andrew James Tice (Canada) 2. Gopalakrishnan Balachandaran (India) 3. Hon Sung Woo (Singapore) 4. Guy Picard (Canada) 5. Sulaiman Al Adawi (Oman)...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Jangwani, Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, kimewatimua viongozi wake wajuu kwa kosa la kushirikiana na vyama vya upinzani katika uchaguzi mkuu uliofanyika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mods, Naomba kupendekeza tuwe na post ya mwezi... ila vigezo vyake sijui vitakuwaje... kwa kuanzia napendekeza post ya Prodigal Son katika thread ya: Re: wamachinga wa kichina wapewa siku30...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
je ni kweli hawa wachina kuondoka kwenda kwao? Yangu macho kwa sababu wahindi wamejaa na wachina tena awana hata vibari vya kuishi hapa na kufanya kazi na kulipwa mishahara mikubwa sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom