Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
WILAYA ya Newala mkoani Mtwara imeelemewa na tatizo la panya kushambulia mashamba ya mihogo, ambapo kwa sasa imeomba msaada wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika. Kwa kawaida Wilaya za Mikoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MKUU wa Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Gabriel Kimolo ameshiriki katika maombi ya kukemea uchawi katika shule ya msingi ya kijiji cha Chindi, huku waganga wajadi walioalikwa kwa kazi hiyo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
POLISI mkoani Arusha imewataja watu wawili waliouawa na askari wake kwa risasi za moto katika vurugu zilizotokana na maandamano yaliyofanyika juzi mkoani hapa. Mbali na watu hao, Denis Maiko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirikisho Ndani ya Shirikisho Uzoefu wa Muungano wa Tanzania na Mchakato wa Kuiunganisha Afrika Mashariki WanaJF na Watanzania wote Tunaelewa kuwa Tanzania ni Mwanachama, mshiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKAZI wa kijiji cha Madangwa wilayani Lindi vijijini, Somoe Ali ameuawa kwa kupigwa jiwe na mtoto wa umri miaka 12, Hamis Hassani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Kamishna Sifuel Shirima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MTOTO anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi mitano, ameokotwa akiwa ametelekezwa nje ya nyumba ya mtu huku mama wa mtoto huyo akiwa hajulikani. Mtoto huyo aliokotwa usiku wa manane wa kuamkia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona hii Article Kutoka Yahoo and Decided To Share it with You.... Things Babies Born in 2011 Wont know.... Video tape: Starting this year, the news stories we produce here at Money Talks...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF nilikuwa naomba msaada wenu tafadhali, nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu upatikanaji wa shule/centre zinazotoa elimu kwa watoto walemavu. Sio wale wa viungo. Nina mwanangu wa miaka 9 ambaye...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Every Sunday afternoon, after the morning service at the church, the Pastor and his eleven year old son would go out into their town and hand out Gospel Tracts. This particular Sunday...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
YouTube - Burning Spear - Christopher Columbus Christopher Colombowicz: America's discoverer Polish not Portuguese, claim historians He is celebrated as the humble Italian weaver who ended...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Latvian travels 1,500miles to squat in Britain because it's an 'easy touch'... and ends up living in a £10m mansion Last updated at 5:29 PM on 6th January 2011 A Latvian artist who...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pakistan government reverses unpopular fuel price rise The government said fuel prices would be restored to the levels they were on 31 December Pakistan's government has rolled back a recent...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IN THE RESIDENT MAGISTRATE’S COURT OF ARUSHA AT ARUSHA CRIMINAL CASE NO. ………. OF 2011 REPUBLIC Versus 1. FREEMAN AIKAEL MBOWE 2. DR. WILBROAD PETER SLAA 3...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Pamoja na wabunge na washtakiwa wote 31 wamepewa dhamana na wako huru hadi tunaondoka Mahakamani.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumetumiwa kwenye email zetu Ndugu Waandishi wa Habari CHAMA cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC), kinalaani,kwa nguvu zake zote, matukio ya askari polisi mkoani Arusha kuendeleza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chinese "Iceman" Jin Songhao stands in a plastic box during a cold endurance competition in Zhangjiajie, central China's Hunan Province, Jan. 3, 2011. Jin Songhao and the other challenger Chen...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Wana JF nimesoma ktk website ya IPP media kuwa serikali imewatangaza wamiliki wa Dowans na namna watakavolipwa ila mtandao wenyewe umetoa tu heading.naomba kwa mlio TZ mtujuze ni nani hao wamiliki...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiwa na viongozi wa Tanesco leo hii amesema serikali imekubali kuilipa Dowans holding SA (Costa Rica) kiasi cha dola 65, 812,630. Kinachusubiriwa sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa haya yanayotokea ni kwamba watu wa northern Tanzania hadi Mbeya huko na Iringa washafumbuka machO na hawataki tena kuibiwa na kudharauliwa kama watumwa ila watu wa pwani naona wameridhika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali: Hatufufui TRL mpaka uongozi ubadilishwe na Betty Kangonga WAZIRI wa Uchukuzi Omary Nundu amesema kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom