Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
....nijuzeni zina tolewa wapi?. Happy New Year.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Haya ndio yaliyopo kwenye status yake FB ikifuatiwa na shutuma kali dhidi ya Dk Slaa bila kujali maisha duni ya TZ. Violet Mzindakaya:"Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya...
0 Reactions
161 Replies
27K Views
  • Closed
Hivi vibinti vya dar hovyoo sana......siku hizi vimejua facebook,blog basi ni baraa vyapost vipicha vyao vya nusu utupu vikiomba hifadhi kwa masela......JF'ers tukivibandika vyicha vyao...
0 Reactions
91 Replies
15K Views
people will now have to spend more to buy internet in tanzania from today.this is due to ISP to increase the prices.Question is,than why were we told that after the fibre optic cable prices will...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, Mr. II au Sugu (CHADEMA), ambaye kabla ya kuchaguliwa katika wadhifa huo alikuwa akifanya harakati za utetezi kupitia medani ya muziki wa kizazi kipya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
By LUDOVICK KAZOKA, 4th January 2011 TWO people died while 47 passengers were seriously injured in a road accident which involved a bus owned by Abood Bus Company and a motorcycle, that occurred...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi, nimekuwa nikisoma sana mabandiko humu ndani na wakati mwingine nami hubandika. Elimu iliyomo humu imetufaidia sana tunaoweza kuingia mtandaoni na wachache tukutanao katika vijiwe vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A FIRST year student with the Institute of Accountancy Arusha (IAA), Mr Noel Mike, died on Monday, after a car he was traveling in was involved in an accident. The Acting Regional Police...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais Karume aepushwe na mgogoro wa kiwanja Tuesday, 04 January 2011 20:55 Habari zilizopatikana mwishoni mwa wiki zinasema kuwa waumini wa Kanisa la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtandao wa WikiLeaks wamlipua Mattaka Tuesday, 04 January 2011 10:40 Mr David Mattaka Mwandishi Wetu Mtandao wa habari za kiuchunguzi wa WikiLeaks...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WATU wawili wamekufa na wengine 49 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salam kwenda Morogoro kumgonga mwendesha pikipiki na kupinduka. Tukio hilo lilitokea jana majira...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rabia Bakari na Rose Itono ZAIDI ya viongozi wa kisiasa na wa umma 4,700 hawajeresha fomu zinazotaja mali zao kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ghivyo kuwa katika hatihati ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dar es Salaam. The Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) has ordered the agent and manufacturer of Lady Jaydee pure drinking water to recall all its products from the market.The water produced...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
ZAIDI ya viongozi wa kisiasa na wa umma 4,700 hawajeresha fomu zinazotaja mali zao kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ghivyo kuwa katika hatihati ya kuchukuliwa hatua za kisheria...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MUIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili hapa nchini, Flora Mbasha, amefungua studio yake inayokwenda kwa jina la Flem. Kwa mujibu wa msanii huyo, Flem Studio iko Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
YAANI ASUBUHI NDIO NIMEAMKA NA SINEMA YA DESPERADO YAKE ANTONIO BANDERAS NA SALMA HAYEK. :drum:
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BWANA Jackson Cleophans (30) mkazi wa Buguruni, jana alishangaa kufikishwa mahakama kwa kosa la unyang’anyi baada ya kupewa haki yake kwa kuwa yeye ndiye aliyenyang’anywa mke wake kwa kumfumani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii nimeikuta sehemu nimeona niwashirikishe maana ina ukweli mtupu................................................... Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
THE much hyped mobile phone subscriber identity module (SIM) card registration that according to the Tanzania Communication Regulatory Authority ( TCRA) seeks to bar subscribers from misuse of...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
THE police have banned demonstration by opposition party Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) that was slated for Wednesday in Arusha but okayed the party to hold its planned meeting in the...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Back
Top Bottom