KINACHOTENDEKA sasa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kinanikumbusha alichokisema aliyekuwa rais wa Marekani mwaka 1801-1809, Thomas Jefferson.
Akitambua umuhimu wa vyombo vya habari na...
SERIKALI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kuongeza makucha yake ya udikteta kwa kukandamiza haki na demokrasia.
Katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani...
JUMLA ya walimu 12 na familia zao wa shule ya sekondari Mkandawile, Kata ya Chanika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, wamehamishia makazi yao kwa
Mkurugenzi wa shule hiyo Bw. Alphonce Mkandawile...
Ugandas remittances to hit $980.9 million Tuesday, 04 January 2011 21:40 d
The Citizen Correspondent
Kampala. Dr David Kihangire, the Bank of Uganda executive director, has said Uganda will...
Ili asisahau ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi, mkuu wa wilaya moja nchini Peru alimualika mtu amcharaze bakora mbele ya umati wa watu.
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 wa nchini...
Wanawake 11 toka China ambao walidanganywa kuwa watapewa kazi nzuri nchini Ufaransa na matokeo yake kupelekwa nchini Kongo na kuzalazimishwa kufanya ukahaba, wamegoma kuiacha bishara hiyo na...
TUMESHTUSHWA na mfumko wa bei uliolipuka nchini siku za karibuni kwa kila kitu kupanda.
Yalianza mafuta yakapanda, gesi nayo ikapanda, kabla ya kutangazwa kupanda kwa bei ya umeme na sasa hata...
By SEBASTIAN MRINDOKO, 4th January 2011
OUT of the 4,346 political leaders who picked wealth declaration forms, 3,047 have not returned them, while 1,041 out of 4,064 of public servants who...
Bei ya Umeme
Ndugu Wananchi;
Natambua kuwepo kwa mazungumzo, katika jamii kuhusu uamuzi wa EWURA wa kukubali ombi la Shirika la Umeme (TANESCO) kuongeza bei ya umeme. Wakati mwingine...
Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba basi la Abood lililokuwa linaelekea Morogoro toka Dar limepinduka Kibaha Maili Moja na limeua watu kadhaa! mwenye habari kamili na idadi atupe Thank you!!
ndugu zangu hali siyo shwali katika hospital ya rufaa ya wazazi meta iliopo mjini mbeya, mie nilienda kumsalimia shemeji yangu (mke wa rafiki yangu) cha ajabu leo anasiku ya tano kwani alipelekwa...
Ndugu katika jf. Tulishaiona kesi ya chenge kuwa alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu au kulipa 700,000/=
je huyu mheshimiwa angekuwa amemuua mh. Lidhiwani adhabu ingekuwa ni nusu ya ile...
WADAU NAITAJI CONNECTION NA WATU WENYE UZOEFU KATIKA BANKING NA FINANCIAL SECTOR,LENGO KUBWA NI KUSHIRIKIANA KUZA HUDUMA ZA CONSULTANCY NA TRAINING ZA KAMPUNI KUBWA YA FINANCIAL CONSULTING KUTOKA...
nataka kuanzisha shule ya chekekea, ni masharti gani ya kisheria natakiwa kutimiza/wapi naweza kupata maelezo ya hizo requirements, nimejaribu kuangalia katika mtandao wa wizara ya elimu lakini...
Kunabosi mmoja katika taasisi inayohusiana na usimamizi katka safali za anga ambae ni mkulugenzi wa utumishi ametoa ya mwaka kwa kukataa kutoa zawadi za noel na mwaka mpya kwa vituo vya watoto...
Prof Ndulu, alisema kuanzia januari mosi, tutaanza kutumia fedha mpya zenye ubora wa hali ya juu, na ukubwa size ya dola ya USA. ila katika hali ya kushangaza hakuna benki hata 1 iliyopokea fedha...
UKIZUNGUMZIA nyota waliowahi kutesa katika medani ya soka ya Tanzania kwenye miaka ya sabini hadi mwanzoni mwa themanini basi huwezi kuacha kulitaja jina la Jellah Mtagwa nyota wa zamani klabu za...
Wana jf, naombeni kwa mwenye taarifa za aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya rais ya kubinafsisha mashirika ya umma tanzania ndugu john lumbambe yupo wapi na anafanya nini? Maana huyu ni mmojawapo wa...
Hivi ni halali kwa mafisadi kuimba wimbo wa "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote....nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weee...." wakati wanaonesha hawana hata chembe ya huruma kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.