Wanabodi, mtaniwia radhi kwa heading kali niliyotumia ila kwa mtazamo wangu ni kwamba sisi kama Taifa tumeikimbilia LAANA badala ya NEEMA kutokana na hulka yetu sisi WATANZANIA. Nikivuta...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha, amewatoa hofu wanahabari na wananchi kwa ujumla kwa kile anachohisiwa kuwa hataweza kuongoza wizara hiyo kwa kuwa anaonekana ni mpole...
KATIKA hali ya kushangaza ambayo watu wengi hawakuweza kuamini macho yao ni pale kijana mmoja wa milima ya usambaa kumkunja shati muuza duka baada ya kurudishiwa chenji ambayo hakuitarajia.
Hayo...
Katika Gereza la Malya amepatikana mfungwa mwenye jinsia mbili, ana kifungo cha miaka 30, kwa wizi wa mtambo wa kubaini almasi.
Awali alifungwa kama mwanaume, lkn baadae ikaonekana zote mbili...
WAZIRI wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa ameiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kubadilisha mfumo wa utoaji mikopo kwa sababu mfumo uliopo unawanufaisha watoto wa...
Natoa pongezi nyingi za dhati kwa wewe mzalendo wa kweli. mapambano ya UFISADI yaendelee hata kama kuna mbinu za kukunyamazisha. Hivi hawa mafisadi wanaona kila mtanzania ni mjinga? It is enough...
By ANNE ROBI, 8th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 116
THE Association of Petty Traders in Dar es Salaam Region has issued a 10 -day ultimatum to petty traders who have not...
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa bin Shaaban Simba, amesema wameiandikia serikali barua kuomba siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwamo katika orodha ya sikukuu zinazotambuliwa kuwa ni siku rasmi...
Just recently we launched our official website here Our Official Website. Since it's only about 1 week old, we believe there may be chances to make it better through your comments and suggestions...
wanajamii naomba kujua hivi mtu anakuwa kikojozi kutokana na nini maana kuna watu wana tabia ya kukojoa vitandani hasa watoto kuanzia udogo mpaka level ya primary ama secondary school bahati mbaya...
UTOKANA na mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa, Wizara ya nishati imechukua uamuzi wa kuhamisha transifoma
kutoka Chalinze ili ije itumike jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupunguza makali ya...
Mteja bill yako ya nov 2010 a/c 00000000 ni 34,000 unadaiwa jumla ya sh 84,000 tafdhali lipa deni lako dawasco kupitia nmb;acb#######
jamani embu tuambieni wapendwa nina miezi 3 wamekata maji na...
WAZIRI mpya wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ambaye ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, amesema hatua yoyote ya kulipa fidia ya Sh 185 bilioni kwa kampuni ya Dowans, ni kuhujumu uchumi wa nchi...
Napenda kuwaalika wana Jamii Forums wote kufika kwa ajili ya mishikaki na nyama choma siku ya tarehe 09.12.2010.
Siku hiyo tutaweza kujumuika kama Forum na kufahamiana.
Nawakaribisha sana.
Nafikiri huu mgawo ni wamakusudi, uchaguzi umekaa miezi mitatu bila mgawo?? SASA mgawo ni deal la watu wachache kama watz hatutabadilika, Kwa kweli bora uzamie ulaya ukawe mfagiaji. Utapunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.