WanaJF
Katika soma soma yangu humu, nakutana sana na comments za kidini au udini. Mimi huingia kupata mawazo mapya, kuona watu wanavyojenga hoja, wanavyokata issues. Kwa ufupi huingia kutafuta...
7 Danger of Coke and Pepsi (Soft Drinks)
For those of u who LOVE Coke/Pepsi. Just when you thought you knew everything.
1) To clean a toilet:-
Pour a can of Coca-Cola into the toilet bowl...
TAMBI ni chakula ambacho kina mapishi mengi kama ilivyo kwa mchele. Unaweza kupika kwa kuaanga, kwa nazi, mafuta na wakati mwingine hata kuchemsha. Vivyo hivyo, katika matumizi yake, wakati...
WanaJF, kuna tetesi za siri sana zimeenea mtaani na katika majikwa ya siasa ya kisirisiri kuwa JK katika pitapita zake ataelekea huko Ivory Coast kumaliza mgogoro wa uchaguzi kama alivyofanya kule...
Ndugu zangu wana JF nina mpango wa kusafiri kibinafsi kwenda Nigeria. Kama mnavyoelewa taratibu za nchi husika lazima zizingatiwe. Noamba kkuliza kama Tanzania kuna ofisi za unalozi wa Nigeria, na...
WANANCHI wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza juzi walichanga sh 179, 690 kwa ajili ya kununua samani za Ofisi ya Mbunge wa
Jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw...
WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, ameutaka uongozi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), kupunguza mlundikano wa kozi kwa lengo la kuleta ufanisi.
Kwa...
Mwanaume mmoja wa mji wa Kentucky nchini Marekani ametupwa jela miezi 33 baada ya kupatikana na hatia ya kutunga shairi la kumtishia maisha rais wa Marekani, barack Obama.
Johnny Logan Spencer...
SERIKALI imetupiwa lawama kuwa inawabagua katika ajira wahitimu wa kozi mbalimbali wanaofaulu vizuri kwenye vyuo binafsi hapa nchini na kuwapendelea wahitimu wanaotoka vyuo vya umma.
Lawama hizo...
KITUO cha Afya cha Mafiga, katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro , kimezidiwa na uwingi wa wajawazito wanaojifungua wanaofikia wastani wa watoto 500 hadi 600 kwa mwezi.
Uwezo wa kituo...
MKAZI wa Kijiji cha Idiga katika Kata ya Utengule Usongwe wilayani Mbeya, ametozwa faini ya Sh 200,000 zikiwa ni malipo ya fedhea kwa kijiji baada ya kukataa maiti ya mtoto wake aliyejinyonga...
Habari wanajamvi,
Nakuja na hoja mpya kidogo kwa jeshi letu la wananchi, mimi na wenzangu tuliopitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga taifa miaka ile ningeomba tutambuliwe na JWTZ kama maaskari...
wajameni naomba kamsaada kidogo. mimi niko huku ughaibuni na nimeshabeba mabox vya kutosha , na ningependa kurudi home kufanya biashara, nimejikusanya sana na hapo nilipo nimesave 100, 000pounds...
MKAZI wa Kijiji cha Basobeshi Wilaya ya Hanang na Polisi mkoani Manyara akituhumiwa kumuua baba yake wa kambo kwa kumchinja shingoni kwa lengo la kurithi mali.
Akidhibitisha habari hizi Mkuu wa...
Imefahamika kwamba katika manispaa ya tarime tena tarime mjni wastani wa wasichana 100 hukeketwa kila siku,huku vyombo vya dola vikilikalia kimya suala hilo
Kumbuka kukeketwa sio kosa,kosa ni...
Jamani huku Bukoba raha kweli kweli
Hivi sasa wale wadudu maarufu jamii ya panzi yahani senene ni wa kumwaga hapa,
Pia Mgao wa Umeme tunausikia kwenye vyombo vya Habari sisi tunatumia umeme...
30 waomba kumrithi Mrema Tanroads
Imeandikwa na Frank Leonard, Iringa; Tarehe: 8th December 2010 @ 06:11
WIKI moja baada ya serikali kusitisha ajira ya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara...
Mtandao wa WikiLeaks umeendelea kutoboa siri za Marekani kwa kuelezea jinsi Saddam Hussein alivyokuwa akitetemeka kabla ya kunyongwa na jinsi maafisa wa Iraq walivyokuwa wakimtukana Saddam na...
Haya wanajamii, leo ni tarehe 7 Dec. Nadhani ni wakati muafaka wa kujiwekea maazimio muhimu kwa kwa ajili ya kuyafanyia kazi katika mwaka wa 2011. Binafsi sidhani kama kuna ubaya wowote, kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.