Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
SERIKALI YETU MBONA HAILIFIKIRII HILO NA WAKATI UPEPO NI KITU KISICHO NA GHARAMA?TENA NI SYSTEM YA KUDUMU mradi wa kina mwakyembe singida umefikia wapi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bukoba vijijini bado yashika mkia kielimu Monday, 06 December 2010 22:12 Phinias Bashaya, Bukoba WILAYA ya Bukoba Vijini ambayo aliyekuwa mkuu wa wilaya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanaJF, nimeambiwa kuwa zamani Forum hii ilikuwa inaitwa Jambo forum na ikafungwa na serikali na ikabadilishwa kuwa Jamii forum ambayo mpaka sasa tunatoa mawazo yetu tukiwa huru. Hii ni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
WanaJF. Mimi napendekeza kuwepo na jukwaa la mazingira,ili mada zote zinazohusu masuala ya mazingira na maliasili za TZ na dunia kwa ujumla ziweze kuletwa na kujadiliwa. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara nyingi huwa ninajiuliza maswali na kukosa majibu.Kwanini Tanzania tujisifu kila siku kuwa ni Nchi ya Amani wakati Watanzania wake mioyoni mwetu tumejaa Manung'uniko kila kukicha? Kila kukicha...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nianze kwa kuwashukuru watanzania wote (ndani na nje ya nchi) ambao tayari mmeitikia wito huu na kuonyesha ushirikiano wa hali ya juu kwa kusaini petition. Sambamba na hilo, napenda pia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani naombeni japo mnipe ka elimu kidogo kuhusiana na bajeti ili niweze kusavaivu katika sikukuu hizi zijazo za mwezi wa Desemba. Kamshahara kenyewe ni TGS.D na kabla ya tarehe 20 Desemba kuna...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
MWANAUME mmoja ambaye ni mkulima, Selemani Abdallah miaka 47 amejeruhiwa sehemu zake za siri baada ya kung'atwa korodani na mke wake. Tukio hilo, lilitokea juzi katika Kijiji cha Mindu Kata ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wana jf wenzangu napata utata mkubwa kuhusu bei iliyo pangwa kwa ununuzi wa hizi ELECTRONIC FISCAL DEVICE ambapo yenye bei nafuu kabisa ni Tzs 1,860,000/- lakini ukiangalia chombo chenyewe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dr. Wilbroad Slaa ameonyesha ukomavu wa kisiasa, uzalendo na moyo wa Upendo kwa Taifa letu. Watu wengi walidhani kuwa angekuwa mtu mwenye tamaa ya madaraka, taifa letu leo lingelikuwa kwenye vita...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kashfa zaidi zaibuka Magereza Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 4th December 2010 @ 23:55 Imesomwa na watu: 487 KASHFA nyingine imeibuka ndani ya Jeshi la Magereza baada ya uongozi wa juu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, salaam zangu za dhati kwenu.... Naombeni msaada wenu. Namalizia Masters yangu kwa kufanya research isemayo Mchango wa vyombo vya habari katika kuchochea uwazi Tanzania. vyombo hivyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
As a matter of curiosity, can any member in this house en light me on how much EWURA collects from us in just one year and where does the money go if you leave alone the ordinary running expenses...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF naombeni msaada kwa hili. Mimi napendelea sana kunywa mix ya valuer na redbull, siku moja rafiki yangu akaniambia kuwa mix hiyo ni noma coz inaathiri sana figo. Mix hy huwa ina nipa mzuka...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Juzi kwenye tv wakati sakata la machinjio ya Vingunguti linaelezwa niliona ng'ombe mmoja ameshindwa kusimama kwa njaa kwani ulikuwa unamwona amekonda kabisa. Nina imani na wanyama wengine huwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inawezeka kuna thread tayari tumegusia swala hili. Nimeanzisha hii thread kwa kuwa nakerwa sana na hii hali kupita maelezo. Ni aibu watu wamekuwa wabinafsi wenye kufikiria matumbo na familia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BAADA ya wachinjaji wa mifugo katika machinjio ya Vingunguti, Dar es Salaam kugoma kwa siku moja, Serikali imekiri hali ya machinjio hayo hairidhishi na kutoa mwezi mmoja kwa Halmashauri ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauliza,ni msimu gani ticket za ndege huwa zinashuka kuliko wakati wowote ule kwa maana nimekwenda kwenye shirika moja kwa ajili ya kupata ticket yakwenda TZ, kwa ajili ya x-mas wiki moja nauli...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yawezekana likaonekana ni swali la kizushi au la kipuuzi pengine ni lakitoto hivi, lakini wakati mwingine maswali ya kitoto yanakuwaga na maana hasa ukichukua muda kidogo kuyatafakali pamoja na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bwana Ansetas Akuu a.k.a. Akuku Hatari kama alivyofahamika kwa wanakijiji wenzake amefariki wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 97 huko kwao nchini kenya. Akuku hatari katika uhai wake alioa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom