Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Lile jogoo la kenya lililokua na wake zaidi ya 130 hili hapa!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafikiri serikari yetu imeshindwa kuendesha inchi kama sio wameshaiuza maana umeme wanavyoukata utadhani dozi ya panadol kutwa mara tatu, hivi hawa TANESCO wanalipia mabilioni ya fedha kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Rolling Stones said it best, “You, you make a dead man cum.” A 38 year old female mortuary worker is being held on $250,000 bond after becoming pregnant by one of her clients-a dead man...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Let's discuss this topic appeared in the East African The way the linguistic situation in Tanzania is represented needs to be corrected. There are a number of languages in Tanzania that have...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkazi wa Dar es Salaam akipita dirishani kupanda daladala linalotoa huduma ya usafiri wa abiria kati ya Mbagala na Kivukoni mkoani humo
0 Reactions
13 Replies
2K Views
JESHI la Polisi nchini, linamsaka mwalimu wa Shule ya Msingi Ziwani, Haule Karudijina, kwa kosa la kumbaka na kumtia mimba binti yake wa miaka 15. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Steven Buyuya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Matumizi ya fedha zinazotolewa na serikali kuhudumia ofisi za wabunge majimboni yameonekana kugubikwa na harufu ya ufisadi kutokana na baadhi ya ofisi hizo kutengewa fedha, lakini hazikununua mali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
APPLICATION FEE IN SCHOLARSHIP APPLICATION Application Fee The Scholarship application process is very expensive. The entire process requires a lot of resources like financial resources...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kanisa lawatosa waumini wengine 17 Imeandikwa na Peti Siyame, Sumbawanga; Tarehe: 7th December 2010 KANISA Katoliki la Kristu Mfalme mjini Sumbawanga mkoani Rukwa, limeendelea kuwaadhibu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
MWANAMKE aliyekutwa na aibu ya kumfumania mume wake na msichana wa kazi, amejikuta akirudi nyumbani kwake baada ya kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali lakini amejitenga na mume wake huyo kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kwanini migogoro mingi inaikumba Bara la Africa na Asia kwa sana, watu kuuana na wengine kuachwa vilema kwa vita vya kila siku.Ukiangalia Asia kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sikuhizi, hawa matx wandani wamekuwa taabu sana kupatikana. Ugumu wakupatikana kwao nikama biashara ya kumtafuta mchumba. Naomba nisaidiwe kupata house girl aliyetulia... Nielekezwe tu mie...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Also visit here: Fire Fighters For 9-11 Truth » FF 911 Truth
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, 06 December 2010 08:41 Steven William, Muheza MWANAUME mmoja ambaye ni mkulima, Selemani Abdallah miaka 47 amejeruhiwa sehemu zake za siri baada ya kung'atwa korodani na mke...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I have stumbled upon these articles and thought worth sharing. Got a few more in the garage for any other aficionados out there. And here, a report from an ongoing project in the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I have been asking myself this question. So I wanted JF great thinkers to help me with concrete answers. You know countries with poverty minded leaders like ours have been dancing to the tunes of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Abdallah sumry aliyekua mbunge sumbawanga amekamatwa kwa wizi wa gari la serikali!jamani hawa CHUKUA CHAKO MAPEMA mbona ni hatari sana yani hata kumkaribisha mwana CCM home kwako anaweza ondoka na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KATIKA kampeni zilizopita kila mgombea aliweka ahadi zake kuwa kama angepewa ridhaa na wananchi angefanya nini katika kuwaondolea kero zinazowakabili. Hatimaye kampeni zilimalizika na uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijuw kama huyu mzee kuna mtu atavunja rekodi yake! Yaan kaoa wanawake zaidi ya 100 na watoto zaidi ya 600... Mpeni hongera jamani!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bomani: Dowans sasa imetugharimu Ataka mitambo ya Dowans ibakishwe nchini MWANASHERIA Mkuu wa kwanza mzalendo, Jaji Mark Bomani amesema hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom