Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
IMEZOELEKA sehemu nyingi duniani kusikia kesi nyingi za ubakaji huwahusisha wanaume. Lakini yaliyotokea Papua New Guinea yameshtua ulimwengu baada ya kesi ya kijana mdogo wa kiume kubakwa na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba mwenye jibu anijuze... Ni vipi tumefika hapa tulipo sasa. Rushwa sasa imekuwa kama kitu cha kawaida, wafanyakazi serikalini hawakupi huduma eti mpaka uwape takrima.... Wamegeuza shughuli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa amedai kuikuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi si waziri mpole-Kawambwa WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa amesema yeye si waziri mpole kwa sababu ya kutotema cheche kama wenzake, bali ni mkali kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa hapa tanzania ni wapi naweza pata majarida ya katuni za tin Tin na kale ka-mbwa kake (kenye akili haina mfano). Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ni kuibiwa na kutapeliwa na Baadhiya wana habari walikosa maadili yatakuwa yamewapata wengi ila hawana pa kusemea maana hata wakisema nani ataandika maana wengi wao wako kundi moja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAKALI ya tatizo la umeme yamezidi baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kueleza kuwa mgawo wa umeme sasa si wa mikoa saba pekee, bali mikoa yote inayopata umeme kupitia gridi ya taifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
DEMOKRASIA ni dhana pana. Ni haki ya kila mtu kufanya kile atatakacho almradi havunji sheria. Dhana hii chimbuko lake ni haki ya binadamu ambayo haiombwi kwa yeyote. Inafahamika kuwa kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SAKATA la wizi wa mamilioni ya fedha, linalowakabili wahasibu wawili wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha(AICC), limechukua sura mpya baada ya uongozi wa kituo hicho, kuamua kuwaondoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanesco: hatujui mgawo utaisha lini Send to a friend Thursday, 02 December 2010 21:28 0diggsdigg Meneja Uhusiano wa Tanesco, Badra Masoud Elizabeth Ernest na Mwanaidi Abasi SHIRIKA la Umeme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kupangua makombora bungeni *AWATAKA MAWAZIRI KUUNGANA NA KUWA NA SAUTI MOJA BUNGENI Salim Said RAIS Jakaya Kikwete amewataka mawaziri kuhakikisha wanawajibika kwa umoja wao bungeni, kutetea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Hassan Omary, mkazi wa Kata ya Kiungi Madukani katika wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, amemwua mwanaye wake Joseph Hassan (1.3) kwa kumkanyaga kifuani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jf, soko kuu la uhindini jijini mbeya linawaka moto hivi sasa, hali siyo nzuri ===== Ingawa hadi sasa haijaweza kufahamika hasa nini chanzo cha moto huo wala hasara iliyotokana na moto...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kweli yawezekana mzee wetu tangu mama atutoke lakini naamini yuko na msaidiizi kwanza nampongeza kwa jinsi ya pamba anazovaa kwa kweli mzee hili nakupa kumi ila kuna hili kidogo yawezekana ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia wasanii wetu na hasa wa hiki kizazi kipya na nyimbo zao. Nyimbo zao nyingi zinahusu mapenzi. Nadhani zimekuwa kichocheo kikubwa katika maambukizi ya virusi vya ukimwi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
WAKATI wananchi wakishitushwa na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Biashara (ICC Court), kutoa uamuzi kuwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) liilipe Kampuni ya Dowans...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mamia ya waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, mkoani Rukwa, wamejikuta katika wakati mgumu baada ya uongozi wa kanisa hilo kutangaza kuwatenga na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajavi What do u consider were your three most best posts/ comments in 2010 What do u consdier was the most funniest/ romanticiest( teh teh wataalam wa lugha) Vile vile What do...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amependekeza kuwepo kwa mfumo wa kugawana nafasi sawa za ajira (quota system) katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Akizungumza katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Nakumbuka zamani Shilingi tano ilikuwa inaitwa Dala kwasababu ilikuwa sawa na dola moja ya Kimalekani, 2. Kwasasa Airtime kiasi cha Shiringi elfu moja kinaitwa dola moja. 3...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom