Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jana kwa mara ya kwanza nilibahatika kupanda basi moja na mwana JF. Niligundua kuwa ni mwana JF pale ambambo alipokuwa anatumia laptop yake na kuaccess internet. Nilipochungulia niliona ana access...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jijini Mwanza kimemteua Diwani wa Nyakato, Josephat Manyerere, kuwa mgombea wa umeya wa jiji hilo, huku nafasi ya unaibu ikichukuliwa na Charles...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MWANAUME mmoja [45] [jina kapuni] mkazi wa Sinza, amejikuta akihaha huku na huku kurudisha amani katika ndoa yake baada ya kufumaniwa akiwa na msichana wa kazi bafuni wakika uroda. Hayo yametokea...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wazee wa Sauti ya Umeme, mchango wako hapa jamvini umepungua kwa kiasi kikubwa! Last Activity:16th November 2010 01:10 AM 'KUMKOMA NYANI GILADI' Bwa ha ha ha!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:angry: Halafu asubuhi unajikuta uko hoi. Ukiambiwa jana ulilewa unabisha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nadhani kwa wakaazi wa Arusha na vitongoji vyake watakuwa wameshaona kwenye mabango mbalimbali barabarani ama kupitia redio ama magazeti ya kuwa iliyokuwa inaitwa novotel mount meru hotel...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF, Kwa wale wote wanao mfahamu ERVIS MUSIBA amefaliki dunia leo huko Dar es salaam na shughuri za mazishi zaendelea Source ITV
0 Reactions
43 Replies
19K Views
Barack Obama Hu Jintao Vladimir Putin Ben S. Bernanke Sergey Brin and Larry Page Carlos Slim Helu Rupert Murdoch Michael T. Duke Abdullah bin Abdul Aziz al Saud William Gates III...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna hili swala la kualika wasanii kutoka overseas kuja ku perform kwenye show za hapa bongo na wanachota mapesa kibao lakini hata kama wakifunikwa na wasanii wa bongo bado mbongo atalipwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Kutoka Mbeya zimeingia sasa hivi kwamba soko kuu la Uhindini katika jiji hilo linaangamia kwa moto kama inavyoonekana katika picha hii ya ripota wa Globu ya Jamii aliyeko eneo la tukio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya makamu wa Rais, Dr. Theresia Hovisa katika kongamano la vijana kuhusu ukimwi alisema kuwa alitiwa mimba na ‘fataki’, halafu alimsifia ‘fataki’ huyo kwa kumsomesha, na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mmiliki wa eneo linalodaiwa kuwa la wazi Palm Beach, amekanusha kuvamia eneo hilo. Mmiliki huyo, Taher Muccadam, amesema anamiliki kiwanja hicho kihalali kwa mujibu wa taratibu za kisheria...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kunradhi kwa wale ambao niliwakwaza kwa kuwaambia kuwa hapa bongo mtu aweza ingiza hadi dola 36,000/- kwa mwezi, naomba radhi kwa sababu wapo walo kwazika wakidhani ni NDOTO tu na kwamba...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya watu kwa bahati mbaya wamekosa majina ya kilugha, mathan mtu anaitwa Mariam Ally Juma au Humphrey John Nicolaus. Da hata ukimuuliza jina lako la ukoo ni nani nalo pia hana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwalimu amvunja mkono mwanafunzi wake Mwalimu wa Kiingereza katika Shule ya Msingi Furaha jijini Mwanza, Jafeth Manyirizu, anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kufuatia kudaiwa kumvunja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF; Mimi na wenzangu tumeamua kutafuta eneo la kilimo maeneo ya Chalinze, kama kilometa 10 - 15 kutoka pale Chalinze mjini. Mipango yetu y amuda mrefu ni kufanya kilimo cha mazao ya kudumu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
kwa haya yanayo endelea kutokea kwenye ulimwengu huu..NIKWAMBA DUNIA INAZUNGUKA AU SIS WADAMU NDIO TUNA ZUNGUKA?.:noidea:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAFIKIRI CHADEMA SASA WASHUGULIKIE MAJIMBO NA KERO ZA WANACHI ACHENI KUGOMBANA NA KAMA KUNA MTU ANAONA KUKERWA NA CHAMA ONDOKA. MAANA SIKU ZOTE KAMA MTU HAFUATI MASHARTI YA CHAMA NI VYEMA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF kuna post nyingi za kufurahisha kwenye majukwaa yake mbalimbali. Binafsi nlifurahishwa sana na post ya utambulisho wa dabo diff. Naamini ni wengi walifurahishwa nayo ndiyo maana ilipata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi, Natafuta contact za Managing Director au Programming Manager wa Radio Free Africa. Nina business proposal nataka kumwagia sera. Nitashukuru kwa msaada.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom