Christian university students on the Tanzanian island of Zanzibar, a predominantly Muslim area off the coast of East Africa, have been denied the right to worship, while on another part of the...
jamani cjui nifanyeje nimepata hg kupitia jirani yangu tangu aje ni 2wki ss ila imekuwa nalisha familia 2 yangu na yajirani yangu kuanzia mafuta,vyakula vingine cjui bado ila nilivyogua ni ivyo...
NIna hamu ya kujenga nyumba ya ghorofa. Nataka ghorofa moja tu na balcony ya juu.
Natamani nyumba kwa ground floor iwe yenye rooms mbili zote self contained, jiko, library, living room pamoja na...
Hapa nipo njia panda,jana nilienda kununua umeme wa elfu ishirini mlimani city,nikapata unity 105.1. VAT 18%, EWURA 1%, REA 3% julma 3,606.56(kodi)...leo nimenunua katika sheli ya BIG BON hapa...
Nimeipata hii wakuu..
The Tanzanian government is arguing that Zain's decision to sell its Tanzanian subsidiary to Bharti Airtel has violated an agreement between Zain and the Tanzania...
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM (Reuters) - Toronto-listed Orca Exploration (ORCb.V) says it plans to drill a new well in 2011 to boost natural gas production at the Songo Songo field in...
wakuu,
jana nilikuwa kwenye sherehe ya bdau ya mtoto wa mtwasi wangu na wakati wa kwenda ku-tos na mtoto (cheers), simu yangu ilipotea katika mazingira ya kutatanisha kwani dakika chache baada mc...
Wana JF, nimekuta hii habari kwenye hii site si vibaya kujadili
Zanzibar, wahamiaji na makanisa
Zanzibar, wahamiaji na makanisa
Assalamu alykum.
Nduguzanguni hebu tutafakarini masuala haya...
Monday, November 29, 2010 5:17 AM
Pamoja na serikali ya Marekani kuionya tovuti maarufu ya kutoboa siri zilizoficha ya WikiLeaks kutoziweka nyaraka zake za siri...
Kuna sehemu dar inaitwa gongo la mboto, nataka kujua chanzo cha jina hili.Hivi ni kweli zamani kuna jamaa aliyekuwa anaitwa mboto alishambuliwa na simba wakamla kila kitu wakaacha mgongo wake...
Watu hawakumpenda huyu dada kutokana na rangi ya ngozi yake na inasemekena hata kamati ya Lundenga haikumpa ushirikiano kwa sababu alikataa kutoa epo. Sasa kati ya mamiss Tanzania 16 tuliowahi...
Habari ndugu wana jamii,hoja yangu leo ni kuhusu ndugu zetu wa usalama nikimanisha polisi,nimekua nikiona kwenye vyombo vya habari mara kwa mara kuhusu ndugu zetu hawa hasa wa kanda maalum ya dar...
Naombeni mnijuze muundo wa uongozi wa jeshi la polisi-Police rank,yaani akitokaahuyu Inspector general,anayefuatia ni nani mpaka kufikia ngazi ya mkoa..
Hakika nimeamini kuna kazi zingine waweza fanya just kupata mlo kinywani lakini hzi za manesi na udk ndugu zanguni mnaetarajia kusomea sio za kukimbilia kwa ajili ya mlo..hizi zinaitaji wito...
Failure namba moja. Kabla hata Bunge halijaanza rasmi.
Makinda alishindwa kuepusha Rais wake kuaibika mbele ya Watanzania. Alishindwa kuwashawishi Chadema wasimuaibishe Rais wake.
Spika gani...
My friends wote katika JF, leo nimeamua kutoa dukuduku langu ambalo limekuwa likinisumbua sana nafsi yangu kuhusu utendaji wa hawa watu wa TRA (haswa pale Dar port customs). Kuna kamzigo kamzigo...
Chadema, sasa mkae kimya. Muendeleze majimbo mliyoshinda. Maana kuendelea na hizi midahalo na kudai katiba ilihali watz wapo kimya ni sawa na bure. Ili chama kisishuke hadhi ni kukaa kimya tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.