Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
first lady ampelekea nguza sabuni jela, ila haijajulikana maana uchaguzi haujaisha sasa sijui ni wa NCCR au CHADEMA au APPT au CCM mi sijui. ila anawakaribisha mafisadi jela:evil:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gavana Mweusi wa Massachusetts Ashinda Uchaguzi! Gavana Deval Patrick, ameshinda katika uchaguzi wa jana. Ataongoza mkoa wa Massachusetts miaka minne zaidi. Gavana Patrick ni mweusi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie nipate hii game niinstall kwenye computer. Thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii dhambi ni mimi au hawa walio nipa hili box? Nilifiwa na baba yangu marafiki wakanifungashia box kufika kijijini nikafungua box baada ya wazee kutumia kilichomo kijiji kilichafuka ikawa balaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Miaka mitano iliyopita ilikuwa ni miaka ya mapambano na mafisadi, kuvunja baraza la mawaziri mara kwa mara, safari zisizokwisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, kushuka kwa thamani ya shilingi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
...our nation...Tanzania...has a total debt of 10 bil USD....for the quicker understanding of the burden...every living human in this nation owes the lenders tshs 332,000/=...of which Tshs...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
MUNGU Baba, wewe uliyetukuka sana, wewe ustahiliye kuabudiwa na kila kiumbe, wewe MUNGU wa mababa zetu, tuko mbele zako wana wako, tuko mbele zako leo Baba, tunakuja tena kwa kulia na kuomboleza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nina machungu sana wadao. hawa ccm wanataka kutupeleka wapi??? wataongozaje watu wasiowapenda?? huu uroho wa madaraka hadi lini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka mitano iliyopita ilikuwa ni miaka ya mapambano na mafisadi, kuvunja baraza la mawaziri mara kwa mara, safari zisizokwisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, kushuka kwa thamani ya shilingi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Most users ever online was 16,925, Yesterday 1st Nov at 04:40 PM. It will take another 5 good years to bit this new record. Previous record was 5,000 +
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wanaforum naomba msaada wenu. Kulikuwa na post moja ambayo ilikuwa na discussion juu ya ujenzi wa nyumba. Sasa na mimi naomba kuuliza jee ni katika hatua gani ya ujenzi nahitaji kumwita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani kuna tetesi kuwa mimba ya dk.buriani batilda ambayo baba wa hiyo mimba hajulikani imeharibika kutokana na stress za uchaguzi baada ya kubwagwa na mh.lema ktk jimbo la arushaa. habari hizi...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
pita maeneo kadhaa ya sinza ,ni vituo vichache sana vinauza mafuta. Pita vituo vya BP, hawana mafuta. Wanaogopa uchaguzi au? Acheni woga maisha yaendelee kama kawa. Chadema weraaaaaaaaaaaaaaaaa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kauli mbiu ya "mapinduzi daima," pamoja na mambo mengine inawakilisha dhana kwamba madaraka ya kuongoza nchi, milele na milele yatabakia mikononi mwa kundi dogo la Wazanzibari waliotwaa madaraka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nataka kuanzisha kitu kinaitwa maisha foundation,ambapo itakuwa na wanachama 100 tu, watakaochangia laki moja moja kila mwisho wa mwezi na kila mwisho wa mwezi mtu mmoja atachukua milioni kumi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waungwana nawasalimu kwanza asubui hii! Natafuta bendera za vyama vya upinzani nataka niwaandalie zawadi fulani naombeni mwenye bendera ya chama anirushieni jamani. Niwatakie asubui njema:israel:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BBC Swahili Maalum kwa uchaguzi wa Tanzania 2010 -
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sababu za kuchelewa ujenzi Barabara ya Mandela zatajwa Kutokamilika katika muda uliopangwa kwa ukarabati wa barabara ya Nelson Mandela jijini Dar es Salaam kunatokana na sababu za kiutendaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa mkuu kakasirika mbona sehemu niliyoizoea hakuna??New post??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ushindi wa chama cha CUF wa viti vitatu kwenye ngome ya chama cha mapinduzi inadhihirisha kuwa chama hiki ni cha wa wazanzibari wote tofauti na CCM ambayo huishia kupata viti upande wa unguja tu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom