Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
sijasikia wakuu slaa akifanya kampeni lindi na mtwara, ni kweli hajafika huko?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yawezekana ukafanya siri baada ya tar 31 ikawa sio siri tena si mbbaya kuwahabalisha wenzao kw muda huu mfupi yawezekana watu wengi wamekula kasa kwa wagombea wetu utakapokuja kutueleza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Taarifa za uhakika zilizonifikia bweni la wanaume katika Sekondari ya Lugoba iliyopo wilayani Bagamoyo jimbo la Chalinze limeungua moto. Chanzo cha moto hakijajulikana na polisi kutoka kituo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Happy birthday, Mr. President! Hafla fupi ya rais kikwete akisherehekea siku yake ya kuzaliwa usiku wa kuamkia leo Friday, October 8, 2010 Keki safi kabisa ikimeta meta kabla ya kukatwa...
0 Reactions
160 Replies
22K Views
Habari kutoka katika chanzo cha UHAKIKA zinadokeza kuwa yule kigogo maarufu katika kesi ya EPA yupo katika COMA kwenye hospitali maarufu jijini mwenye habari zaidi uwanja ni wako!
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Huyu jamaa ni mlipa visasi namba moja nchi hii, na pia ni mlipa fadhila mkubwa. 1. P. Mang'ula aliyekuwa mkti wa kampeni za CCM 2005 alionyesha kutomkubali matokeo yake kila alikojaribu kugombea...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
What's on your mind
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Watuwazimatanzania? Tuko pamoja tangu miaka mitano iliyopita. Ila kwa mada hii imebidi niweke wazi lila raia mwema katika jamii ya watanzania kuwadhibitishia kuwa mimi binafsi ni mwanajeshi jwtz...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mratibu wa mdahalo wa Prof. Lipumba jana alichagua maeneo saba ya kumuuliza Profesa ambayo yalikuwa katika nyanja za utawala bora, uchumi, serikali ya umoja, udini, staili za kampeni za CUF, hatma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kauli ya waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi kuwa vijana wanaomaliza darasa la saba wataendelea moja kwa moja na kidato cha kwanza bila mchujo wa mtihani mara tu CCM ikipewa ridhaa mwaka huu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
It is time for change time 4 changes! Time 4 liberation! Time 4 revolution! Time 4 removal of rampart corruption! Time 4 eradication of poverty! Time 4 all tanzanians to enjoy our resources...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Of late kuna E-mail going around from TCRA asking ISP to block some sites(zeutamu2) hivi according to the INFORMATION ACT of tanzania is it RIGHT to do that?... and if you look closely karibu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kujikita wazi kwenye uwanja wa siasa kuifanya blog yake kuwa propaganda mashine CCM, blog ya michuzi ni kama imekufa. naona hata vijana mhiri waliokuwa wakiifa supoti kwa kumwaga atkos za...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
NI MIEZI MINNE SASA WANAZUONI WA VYUO VYA UMMA HAWAJAPATA MISHAHARA MIPYA,NAWAZA LABDA WAO SI MUHIMU KAMA WATUMISHI WENGINE WALIOKWISHA KUPATA. JAMA WANAFUNZI HAWATAPIGA KURA NA WAHADHIRI WAO...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jenerali Ulimwengu Oktoba 20, 2010...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Army, youth MPs’ future uncertain Speaker Edward Ssekandi yesterday said there will be no nomination for the army, the youth, the women and other interest groups represented in Parliament...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Habari nilizozipata punde toka Zanzibar ni kwamba ndege moja inayomilikiwa na kampuni inayoitwa TAN-WING (yenye reg.No: 5H-PAY), aina yake CessnaF406, au Caravan-II imetua na kuharibika vibaya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Na Richard Makore 28th October 2010 Umoja wa Mabaraza ya Habari Duniani (WAPC), umelaani vitisho vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania vya kutaka kufungia magazeti ya Mwananchi na Mwanahalisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za uhakika ni kwamba kampuni iyo inavunjwa rasmi na wafanyakazi wameshaanza kufanyiwa interview na wale wanaofaulu wanahamia TRA na matawi yake...stay tuned...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wenye updates please nasikia kuna dege limeanguka mwanza mtupashe habari mlioko mwanza
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom