Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kama umeshind green card; fuatilia hapa chini kabla hujafanya maamuzi yoyote. Citizen Tv ya Kenya wameenda extra mile katika kuwaelimisha wadau wenye ndoto ya kwenda kuishi 'unyamwezini'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naiona hii article ya huyu dada kutoka www.observer.ug kuwa inafaa kuisoma na kuijadili. Kwa mtazamo wangu, mimba isiwe kikwazo cha kumpa m/mke elimu ambayo ni muhimu na ni haki kwa binadamu wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa kuruani.tk katika site hii kuna Kuruani kamili kwa lugha ya kiswahili na kiarabu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadhamini wasweka rumande kwa kuvaa suruali mlegezo Monday, 25 October 2010 07:47 Na James Magai MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala Ijumaa iliyopita iliwasweka mahabusu siku 14 wadhamini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Masikini Tanzania yetu! Masikini Tanzania yetu! Habari za leo zimenishutua pale niliposikia Profesor Magembe ambaye ni waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi kuwa Elimu itakuwa kuanzia darasa la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu jamani wadau wa JF. mimi hili jambo limenikaa mda mrefu nalichambua na kutafakari,zaidi sana linazidi kuniboa.:A S cry: nimeangalia kampeni nyingi za siasa kama si kuona hata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MJINI UWANJA WA FUJO,KILA MTU ANACHEZA NGOMA ANAYOTAKA!!WENYE NYUMBA MPO??? Huyu dada pichani ni mkazi wa hapa jijini Dar alikuwa kapanga huko Magomeni kwa mwaka mzima nyumba ya dada mmoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii forum,ningependa kujua kulikoni gazeti letu maarufu la MWANANCHI halipatikani mtandaoni? Ama ndio wameshafungiwa? kwani tangu asubuhi najaribu kufunguwa website yao inagoma,napata...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu. Naulizia kama kuana anayejua uwezekano wa underground water drilling in Moshi. Je kuna kampuni au watu binafsi wanaotoa hii huduma? Je inacost kiasi gani. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefurahi tena kusikia kuwa Kiranja Mkuu kakumbushia umma kuwa hahitaji kura zetu....nadhani kuna watu wamemuomba wampe kura, sasa yeye kasisitiza jana mwanza kuwa hahitaji kura zetu za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ile kampuni giant na kongwe ya simu nchini, imeuzwa na vodafone wanatake over, huku upande wa operations L-link watakuwa wakisimamia wafanyakazi wameshaanza kupewa barua, ila haijulikani kama...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani kama mtakuwa mnachunguza siku hizi maoni kwenye Michuzi Blog yamepungua sana labda kwa asilimia 70 hivi. Michuzi blog ilikuwa ndio sehemu ya kupata maoni mengi kwa issue mbalimbali za...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
http://www.youtube.com/watch?v=qJ6-o-EMZic
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tuesday, 26 October 2010 12:35 Gazeti la Mwananchi0diggsdigg Vitabu vya Historia darasa la nne ambavvyo maelezo yake yanakanganya wasomaji.kulia ni ushahidi kuwa kitabu hiki kina baraka zote...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Nawashauri wakati wa kulinda kura zetu hasa za Chadema maana za sisiemu haziibiwi tuwe kitu kimoja na tuwe na ushirikiano kiasi hiki. Hebu ona hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nimependa sana Verse za Marehemu Lucky Dube, hasa kipindi hiki, hebu someni na nyie, hio verse nyekundu ndo nzuri Those that smoke marijuana Wanna thank you, Father For making it grow...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BA Launches Dar-Joburg Flights Posted on: Mon, 25 Oct 2010 11:43:14 EDT Symbols: BAIRY Dar es Salaam, Oct 25, 2010 (Tanzania Daily News/All Africa Global Media via COMTEX) -- BRITISH...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source: Gazeti la...Ukweli na uwazi Na Haruni Sanchawa KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Saidi Mwema na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Lewis...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilisikia kwenye redio moja ya bongo kuwa wakristu wa madhehebu yote watafanya ibada ya pamoja kuombea amani uchaguzi mkuu siku mbili kabla ya 31 Oct. 2010. Sasa sijui na dini nyingine watafanya hivi?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati Rais akipigia kelele uhuru wa vyombo vya habari na maadili yake yafanye kazi kwa haki na upendo , kuna baadhi ya waandishi na wamiliki wa hivi vyombo vya habari viko mstari wa mbele katika...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom