Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Italian seaside town planning miniskirt ban The dress code would ban everything from miniskirts to low-cut jeans A seaside city in Italy is planning to ban miniskirts and other revealing...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hakuna siku nimefadhaika na kusikitishwa maishani mwangu kama leo..Kukosa JF kwa masaa haya 6 ilikuwa ni safario ndefu na ngumu..Ni heri kukaa nyikani na kuteseka kuliko kukosa JF. Jitihada zenu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
hizi kura jamani embu wagaieni chadema tubadilishe nchi jamani usijelaumu mwenyewe Watanzania sasa kupata nafuu ya maisha Send to a friend Monday, 25 October 2010 08:26 0diggsdigg Mgombea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
President Kikwete's private physician has been promoted to the post of Associate Professor in the USA. He is a Tanzania! For more information:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yuko wapi aliyemsafi CCM? Na Hilal K. Sued - Imechapwa 13 October 2010 VIONGOZI wasafi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanapatikana kwa nadra sana. Sisemi hawapo, la hasha! Wapo lakini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale adui watatu ambo tuliambia na CCM/TANU/ASP wangeliwatokomeza kumbe ndiyo lulu sasa kwa CCM ili kuendelea kututawala bila ridhaa yetu. Adui hao ni umasikini, ujinga na maradhi..... Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili mda mrefu: je, wahindi na waarab hutunza fedha zao ktk bank ipi?, maranyingi nimekuwa nikikaa kwenye misururu ya bank hata masaa3 lakini sioni mwarabu ama muhindi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni tabia ya Tanesco hapa Arusha kutunyanyasa sisi wakaazi wa Arusha kwa kutukatia umeme mara kunapokuwepo shughuli nyeti ya Chadema na Dr. Slaa na hata huwa hawatuombii msamaha....kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jf naomba mnisaidie kama naweza kupata mawasiliano na watu wanaosoma masters nje ya nchi ili niweze kujua michakato ya kusoma huko inakuwaje,kwani natamani kufanya masters ng'ambo,program...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Kuna Tetesi nilikwisha wahi kuzisikia mda mrefu kuwa mgombea huyu wa ccm jimbo la ilala alikuwa DRUG LORD miaka mingi ya nyuma na alikwisha wahi kufungwa nchini ITALY, Ukitembelea...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni. Ninapata...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndege ndogo Cessna 206(6seater) yenye registation No: 5H-ASA ilianguka jana majira ya saa 10 jioni huko Kisiwani Ukerewe! Ndege hiyo inasemekana ilikuwa na abiria wawili wenye asili ya Kiasia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Couple charged in $13 million Nigerian scam Scheme siphoned money from people who sought work as maids FORT LAUDERDALE, Fla. It is a scam so complicated police have to draw a diagram to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moto mkubwa umeripika ktk sheli ya mafuta kasulu mjini mida ya saa 12:30 jioni, mpaka sasa hakujawa na taarifa rasmi ni watu wangapi wamekufa au kujeruhiwa ila moto bado uanendelea kuwa japo kasi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau JF! Naomba sehemu ya sheria za nchi+TRA zinawahusu(zinazofafanua utaratibu mzima) wale(hasa wanafunzi) wanaopaswa kupatiwa msamaha wa kodi, pindi wanapoingiza vitu vyao nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
askofu desmond tutu wa afrika ya kusini na mwanaharakati mahiri aliwahi kusema kuwa,ukipita na ukamwona tembo amemkanyaga panya mkia na ukaulizwa nani kati ya hao wawili ni mwonezi na jibu lako...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Angetile Osiah JUMATATU nilishangaa kusoma habari kubwa kwenye magazeti mbalimbali ikielezea mkakati wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete aliyoitoa kwa wafanyabiashara...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu ndg Julian Assange kwa kutamba ameendelea kumwaga taarifa za siri (classified information) kupitia mtandao wao wa Wikileak akidharau maonyo aliyopewa. Je hatendi kosa? Ikumbukwe kuwa wala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata tetesi kuwa leo kutakua na maandamano kariakoo, magomeni na kinondoni ambayo haya jarususiwa, mwenye data zaid atujuze please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom