wadau habari za leo
nna shida ya kutaka kufahamu kuhusu namna TRA wanavocharge ushuru wa magari toka japan hasa yale yaliyozidi miaka kumi tangu tengenezwe yaani uchakavu unachajiwaje,kuna fomula...
wenzangu ninatafuta suluhisho.
sisi tuko huku ugenini pekee yetu, mzazi peke yake nyumbani africa.
kaka kapoteza kazi lay off. miezi minne sasa ameishi na mimi. ameishiwa heli, gari...
*Ofisi ya Mwanasheria wa PPF na Mkurugenzi zavunjwa
*Nyaraka za siri zadaiwa kuibwa
Baadhi ya wafanyakazi wa jengo la PPF lililopo barabara ya Morogoro na Samora wakiwa nje ya jengo hilo leo...
Kumetokea mauaji ya Kiongozi wa Walinzi katika jengo la PPF House Samora. Mauaji haya yanakisiwa kutokea usiku wa kuamkia leo J3. Hakuna taarifa za kuaminika juu ya kusudio na wahusika wa mauaji...
Swali langu kwa wana jf wajuvi wa sheria ni kwamba sheria ya ndoa inatambua wahusika wawili tu, na kama endapo mmoja atakiuka mfano kwenda nje ya ndoa au kumkataa mwenzie bila sababu za kimsingi...
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mchungaji Matiku Thomas Nyitambi kilichotokea leo huko Tarime musoma kwa ajali ya gari .Marehemu alikuwa anasafiri na Mkewe ambaye amepata majerahaa
'' Mungu...
Taarifa kutoka Bukoba,nilizopenyezewa na mdau mmoja aliyeko huko ni kuwa mkuu wa mkoa amelazimika kuhama katika nyumba iliyoko IKULU ndogo ya Bukoba kumpisha mke wa JK anayefanya ziara ya kichama...
Gwynne Dyer
THE headlines in the Western media all said more or less the same thing when Israeli Prime Minister Binyamin Netanyahu pulled the plug on the latest round of the Middle East peace...
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sulemani Kova
Polisi kwa kushirikiana na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam, wameanzisha mchakato wenye lengo la...
kuna siku nilikuta Magufuli anaitwa Dr., sikubisha wala sikukubali bali nilishangaa maana 'no data no speaking' lakini nikafuatilia na kugundua jamaa kasota miaka minne pale UDSM na kupata PhD...
NATAMANI SANA SIKUMOJA NIPATE NAFASI YA KUMHOJI HUYU KIKWETI NA SERA ZAKE KWAMBA ILANI YA CHAMA CHAKE AMEITEKELEZA KWA ASILIMIA 90..... SO HII INATUPA PICHA GANI!!!! HAPA TULIPO SASA NA HALI...
yupo wap kinana?yupo wap makamba?wakati tumeanza mchakato wa kampeni walikuwa na kelele sana hawa na kuja na propaganda zao,watu wakawaelewa na mashambulizi yakaelekezwa kwao,wakatambua watanzania...
1. You cannot touch all your top teeth with your tongue.
2. All idiot , after reading the first truth, will try it.
3. And discover that the first truth is a lie.
4. You're smiling...
MGOMBEA URAIS WA CHADEMA AMEANZA KUHAHA NA KUCHANGANYIKIWA BAADA YA ALIEIBIWA MKE KUFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU!!! HABARI KAMILI SOMA HAPA: Home
LAKINI CHA KUSHANGAZA HUYU PADRI ANAEUSAKA URAIS WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.