Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Maoni ya katuni Kumekuwa na kauli tete kwamba mbu wameongezeka sana katika eneo la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, na ongezeko hilo linadaiwa kuchangiwa na utafiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawatakia heri na fanaka kwenye mwezi huu mpya. Pia nawatakieni weekend njema sana. Mungu awajalie wana JAMII FORUMS wote. Haswa MALARIA SUGU.
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Wadau naomba msaada wenu. Nipo kikazi huku kusini mwa Tanzania. ni karibia wiki moja sasa, na nitakaa kwa wiki nne. Mara ya kwanza nilifikia katika gest moja hivi ya kawaida tu. Lakini kuna rafiki...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Hashim Lundenga na kampuni yake ya Lini anatumia Generic name la tanzania yeye na familia yake na bado tunampa bendera ya nchi kwa nini jamani wadanganyika? Linoagency ni nini kwa watanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WASHINGTON – Astronomers say they have for the first time spotted a planet beyond our own in what is sometimes called the Goldilocks zone for life: Not too hot, not too cold. Juuuust right. Not...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hili tangazo hili! Silielewi mweeeeeeeeeee!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NASHINDWA KUAMINI NCHI HII TUMEFIKIA KULIPANA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA SERIKALI KIMAFUNGU, MISHAHARA MIPYA INASEMEKANA WAMELIPWA BAADHI YA WATUMISHI KAMA WA TAMISEMI NA MAJESHI, NA WALE KAMA WA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anaweza akanipa mwelekeo mzima ya kwamba nani anaweza kuchagua syllabus ya shule ya kufuata kama syllabus,ya kimataifa naomba msaada... Procedure nzima na who to choose the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nipo kwenye semina moja katika mkoa mmoja tanzania,leo ni siku ya tatu na mwisho wa semina yetu lakini semina yetu ilkuwa hivi. Jumatatu tulianza semina saa 3:30 badala ya saa 2 asubuhi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi nimekua nteja mzuri sana wa tigo kwa miaka kama nane hivi tangu nipo shule hadi nafanya kazi na kuanza familia. It was reasonably cheap kwa kweli for all those years and maybe it still is...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafakari matukio ya ujambazi yanayotokea kila kukicha na kujiuliza hivi kweli tanzania kuna amani au ni wanasiasa wetu wamezoea kutumia huo msemo kuzidi kujipatia kila wanachotaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
popote utakapowaona watu hawa tafadhali wajulishe wahusika kwa manufaa ya umma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I really 102.6fm with all its programs sema one thing bothers me alot hivi kwa nini 102.6fm kila ashubui kipindi cha baby kabae analalamika mtandao uko slow eti hawezi pata news.satellite ipo...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Nimeambiwa hizi saluni za gharama za kuwarembesha hakina mama nasikia ndo akina mama wengi wenye busara zao hukutana na mabwana zao kwakuogopa umbea wa magazeti ya udaku!!hivyo ukienda huko...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nimesikiliza kwenye summary ya magazeti RFA asubuhi hii, kuwa yule Mtabiri na Mnajimu, aka "mzee wa ulinzi wa majini" amebashiri kwamba Mgombea mmoja machachari sana anayepania...
0 Reactions
135 Replies
13K Views
This story could go into the "San Diego's Dumbest Criminals" file. A Lakeside man goes to visit his son in a Colorado prison and ends up behind bars himself on suspicion of smuggling drugs...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Hivi karibuni baadhi ya wanahabari ikiwemo gazeti makini la Raia Mwema walitutaja sisi wana JF kama wanamtandao ambao tumempa Dk Slaa kura nyingi za Urais. Je wana JF tutawezaje kuifanya JF kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana helikopta ya mkulu iligonga mti huko shinyanga. Mwenye nyeti zaidi atumwagie.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna familia moja ambayo mama ndiye anayejua watoto wale nini,wasome wapi, wavae nini na waishi wapi kwa maana ya kwamba hadi pango mama ndio anayelipia kodi. Mume hana habari na hivyo vitu, yeye...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nina blakbery storm 9530 lakini sina usb cable yake na ningependa nijue ni duka gani hapa mijini dar es salaam naweza kupata. Natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom