Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani wanajamii naomba tujiunge pamoja kumsaidia Rachel,naona adhabu aliyopewa ni kubwa sana na ukizingatia kuna hadi mawaziri wana vyeti feki na wanapeta mtaani,sitetei makosa ya mwalimu lakini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimeuliza swali hili kuhusu namna ambavyo ndugu zetu Albino wanavyotendewa katika nchi yetu ya Tanzania. Tunajua wazi kuwa tatizo kubwa walilonalo wenzetu albino ni magonjwa ya ngozi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu watanzania nawashauri mzidi kuungana kibieshara na nchi za kiaarabu. Waarabu wanapenda waafrika na wanawaona waafrika ni kama ndugu zao wa karibu sana. dalili kubwa ya haya nayoandika ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAOMBA NIWATAHADHARISHE WABONGO WENZANGU HASA KINA DADA KUHUSU TAPELI WA KIUME ANAJIITA MIKE/STEVEN MWAKAWAGO.... IN SHORT UYU KAKA ANAJIDAI KUTUMA MSG NA KUJIDAI ANAKUFAHAM SANA NA PIA ANAJIDAI...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
The design of the gospel of our Lord Jesus Christ is to break the yoke of sin and Satan and thus remove the burden of guilt and corruption. The SCOAN, as an arena of liberty is indeed living up to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nairobi, Kenya. They will fix your jitters, workplace problems, court cases, and even revive your failing virility. And they are invariably Dr this or Prof that from some place in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIBUNANGO na bendera ya CCM, haya mwenzetu tueleze kulikoni.....au ndio wale wale?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawauliza wanaojuwa sheria hivi haiwezekani huyu mnajimu Yahaya maana siwezi muita shehe ni kuwadhalilisha mashehe kwa raia wa kawaida akaenda mahakamani na kuomba azuiwe kisheria kutotoa matamshi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Toxic AIDS drug on way out <LI class=kaziBody><LI class=kaziBody> By MASEMBE TAMBWE, 30th September 2010 TANZANIA has started phasing out use of anti-retroviral for HIV, stavudine, in line with...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya mfumuko wa vyuo vikuu nchini Tanzania baadhi ya kozi zimekosa watu wa kuzichagua au kujaza nafazi baada ya wanafunzi wenye sifa kupangiwa kozi walizoomba kupitia TCU. Hata chuo kikuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanzoni nilizani ni traffic wadogo wenye kupenda rushwa la hasha naomba niwape hiki kisanga kimetokea saa saba mchana leo hii pale tazara nikiwa natoka gongo la mbali traffic akawa anaita...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
thetbjoshuafanclub | August 20, 2010 at 6:06 pm | Tags: Emmanuel TV, Gospel Music, Joyous Celebration, Lindelani Mtinzi, Sechaba Pali, South African Music Awards, TB Joshua, Tim Tibelia, Tshepo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Salaam, Wana JF mlio Dubai au wenye uenyeji na Dubai naomba msaada ufuatao. 1.Naomba kama mtu anaweza kunieleza contacts za hotel ya kati ya US$ 30-50/single/BB-prefarable karibu na Deira au Nasr...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkuu wa kaya pole na mihangaiko ya kampeni naona imepamba moto kweli kweli ! Uzuri ni kwamba libeneke bado linaendelea kama kawa hivyo lazima nikupongeze sana kwa hilo ! Sasa pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
AFRICAN LEADERS Abdulai Wade age 83 Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82 Robert Mugabe ( Zimbabwe )...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Mema haya msije mkazembea mkayakosa:- a)Nitachakachua matokeo na kuhakikisha CCM inashinda kwa zaidi ya asilimia themanini. b)Nitaishinikiza NEC ifukuze wapigakura vituoni kurahisisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By Jerry Okungu MY interest in Tanzania’s impending elections is obvious. I am a Kenyan and an East African. I claim both nationalities by birth, inheritance and history. The reason Tanzania’s...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Jamani vita dhidi ya malaria, UKIMWI kama watu wenyewe hatutakuwa tayari, haitafanikiwa. Mkazi mmoja wa Kyela atumia vyandarua vya hati punguzo kuwekea uzio wa bustani yake ya mbogamboga. Haya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
JAMANI mwenzenu jana na mimi nilionja adha ya kubambikwa kesi.... nitarudi muda si mrefu kusimulia kwani sasa naenda kuwaona na kuangalia utaratibu wa kupelekana mbali unakaaje, ila kwa kifupi ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
U might have seen it before, many times, but i think It worthy a repetition, and please if any one among us can tell us Who plan this and why? Have a history teacher explain this----- if...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom