Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
SERIKALI inapoteza Sh bilioni 33 kila mwezi kutokana na uchanganyaji wa mafuta ya taa na dizeli unaofanywa na madereva wa malori ya mizigo nchini. Hayo yalisemwa jana Dar es Salaam na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Tandale, wameushutumu uongozi wa soko hilo kwa kushindwa kusimamia vyema usafi wa mazingira ya soko hilo, hali inayohatarisha maisha ya watumiaji wake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sana nilikuwa nikifahamu kuwa the Universe is made up of time, space, energy and matter. Hii ilikuwa inamaana(kwangu) every thing in the universe is either energy or matter if not...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
As democracy increasingly takes hold and anti-corruption campaigners become emboldened, Tanzania progressively tackles addictive corruption and fosters accountability as part of its new economic...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni niliulizwa na mtu (Mtanzania) hivi Watanzania waliohamia nchi za nje na kuchukua uraia wa nchi hizo wanazipenda kweli nchi wanazoishi kama wanavyoipenda Tanzania? Je, wanaposikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NImesoma magazeti na kuangalia luninga za nyumbani na mara kwa mara wameanza au wamepania kumtambulisha Kikwete kwa cheo cha Udaktari wa Heshima. Nikajiuiliza kama wanafanya hivyo kwa sababu yeye...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Waungwana salamu Jamani nakwazika miye, Eti Kiti Moto ni ruksaaaaaaaaaaa na kama ni ruksaaa ni kwa dini zote? Nasika waislamu hawali lakini nawaonaga kitaa wakijipiga na ze kitis. Wakristu wao...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nianze kwa kusema kuwa haya sio maneno yangu ila nimeyatoa kwa mdau mmoja kwenye mtandao mmoja sasa naona sio haki kuliweka jina lake hapa pasipo ridhaa yake ila yamenivutia kutokana na unyeti...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Serikali yajifilisi yenyewe Na Mwandishi wetu, Mwanahalisi SERIKALI imeumbuka. Inahaha kukopa fedha benki kujazia bajeti, wakati inatuhumiwa kutumia mabilioni ya shilingi bila maelezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kulifuta kabisa shirika la ndege Tanzania (ATC) kutokana na shirika hilo kutokuwa na tija kwa serikali. Habari zinapasha kuwa licha ya serikali mara kadhaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA USAJILI WA NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ilitoa agizo kuwa namba zote za simu za mkononi zisajiliwe Kati ya Julai 1 2009 hadi Desemba 31, 2009; na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi kweli hizi mbio na matamshi makali makali kwenye vyombo vya habari kwa hao watuhimiwa kuwa wangewafikisha watoa tuhuma mahakamani zimeishia wapi... au hisia zetu kuwa hiyo ilikuwa mikwara...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
WACHAMA wanne wa chama cha mapinduzi (CCM) wilayani Ludewa mkoani Iringa wamekamatwa na afisa mtendaji wa kijiji cha Ilinindi kata Madilu humo Dennis Luoga kwa kosa la kumzuia mbunge wao wa jimbo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaribio la Rais Kkwete la kutingisha kiberiti cha wafanyakazi lilifanikiwa, lakini joto la maisha ya wafanyakazi bado liko palepale. Swali tunalojiuliza watazamaji wa mechi hiyo ni nini kilichomo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeguswa sana na alalysis ya Haule' kwa kweli nashindwa kuelewa kuwa what should be the end in mind then?!? Nikiwaangalia wenzetu ambapo nimepata kutembelea sehemu mbali mbali hadi za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Critics for years have lambasted Vista, and now Steve Ballmer has finally admitted that Microsoft made key mistakes in its development of the operating system. At a keynote speech yesterday at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani, :smile-big: This is Chambi's doing wanting me to have an opinion on Pan Africanism. Well I am being quoted and to your great delight Chambi by African American Youths who are using...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Upinzani wa mashirika ya kiraia kuwa sera ya kupambana na bidhaa bandia katika Afrika Mashariki inawez kusababisha kuzuia dawa za bei nafuu na halali zinayotengenezwa kwa leseni una lengo la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear Tanzanians, it is worth to mentioning that at present TZS 1,500 is equivalent to 1USD.This comes following our hillside behaviour on the following : Using Chinese toilet paper...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom