Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
As I assemble songs for my collection ... Old skool is relative, so when I speak of old school, for me, it is the music era between the mid 70s to the mid 80s. So a song like "keep on moving" by...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear all Tanzanians, I, as a Tanzanian am proud to have achieved another milestone...The Tanzanian Shilling is now equal to more than 1,450 to 1 USD$!!!! Congratulations to all of us Tanzanians...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watanzania tulioamua kumpenda na kumheshimu mungu wakati muafaka kutii amri za mwenyezi mungu na kufanya yale anayotuagiza kutenda..tutakuwa wanafiki kuishi maisha ya unafiki uzinzi wizi nk huku...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Andrew alikuwa anahangaika sana na kazi ya kurekebisha matatizo yaliyokuwa yanatokea mara kwa mara kutokana na kutoelewana na kutokubaliana kati ya wafuasi wa Yohana na wafuasi wapya wa Yesu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Natumaini mnaendelea vizuri. Nina shida ya kutaka kujua falsafa ya hayati baba wa taifa kuhusu uongozi. Katika darasa ninalosoma (MBA) yaani Master of business Administration tumepewa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
2nd June 10 Wanachuo wa St. Joseph wagomea ongezeko la ada Beatrice Shayo Zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamegoma kuingia darasani kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By Staff writer 30th May 2010 TRL locomotive Today, we are asking this question after last weeks revelation that the India-based firm, Rites, is demanding a total of Sh177...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemtaka Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, kuacha kutoa kauli za kujichanganya na badala yake aeleze wazi sababu za kushuka kwa mapato ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A survey of more than 1,000 men in India has concluded that condoms made according to international sizes are too large for a majority of Indian men. BBC NEWS | South Asia | Condoms 'too big'...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) nchini, Tim Clarke, ameshangazwa na Tanzania kuendelea kuwa maskini licha ya rasilimali zilizopo, kuliko nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na ametaka zitumke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu mtoto vipi?. Mom of toddler smoker in Indonesia seeks help for him - CNN.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ama hakika Dunia imeisha! Maana imeshuhudiwa watu wawili wakipigwa risasi live mbele ya familia za bila hata wao wenyewe wala familia zao kujitetea!!( Soma nipashe ya Jumapili). Mimi bahati niko...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nilikuwa na vidolari vyangu vya kimarekani, leo nikataka nikaviuze; Nilipo enda kwenye Bureau de change walivichambua na vile vya 1999 na kwenda chini nikarudushiwa! Naombeni mnisaidie kunielekeza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
2nd June 10 Wanachuo wa St. Joseph wagomea ongezeko la ada Beatrice Shayo Zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamegoma kuingia darasani kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mwaka 1984!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenu wananchi kama mjuavyo baada ya bajaji tumeamua kuja na pikipiki usafiri wa haraka zaidi kwa baahati mbaya wimbi hili limekuwa msiba kwa watanzania wengi jamani ukifika kule arusha kuna wadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kesho (3/6/2010) kuanzia saa 3 hadi 5 asubuhi (9:00-11:00 AM local time) kutakuwa na mhadhara wa wazi utakaotolewa na Director of Research, Control and Statistics wa PCCB huko S.U.A Main Campus...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa nadhani humu kuna wazoefu wengi sana, Leo nimepita mjini asubuhi nimecheck Mini statement yangu nimekuta kuna hela zimeingia kwa TZS naweza kusema ni kama 6,700,000M sasa kuna hela zangu huwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kesho (3/6/2010) kuanzia saa 3 hadi 5 asubuhi (9:00-11:00 AM local time) kutakuwa na mhadhara wa wazi utakaotolewa na Director of Research, Control and Statistics wa PCCB huko S.U.A Main Campus...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naombeni kuuliza koz kuuliza c ujinga!! najua katika sisi binadamu ni kawaida kukuta mashoga na watu wasio na uwezo wa kuzalisha au kuzaa je hii pia iko kwa wanyama?? tunae ng`ombe au...
0 Reactions
6 Replies
38K Views
Back
Top Bottom