Juzi nikiwa nipo home ndo nimetoka kwenye ujenzi wa Taifa hili lisilojengeka, alinijia Mke wa Jirani yangu na akaanza kunieleza hadithi ndefu ambayo kwa hakika ilikuwa ni mwendelezo wa hadithi ya...
Pikipiki zaua 181 kwa miezi minne
JUMLA ya watu 181 wamefariki dunia kwa ajali za pikipiki katika ajali 1,414 zilizotokea kote nchini katika kipindi cha miezi minne kuanzia Januari, huku...
HELO WANA JF TZ NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU AU VIPI UFISADI KUSHNEYY AU NDIO CHANGA LA MACHO
HEBU NIJUZENI MAANA HATA SISIKII ISHU ZAKE
cONQUEST-MTEMI WA VIJIWENI NI MIMI MIA HAINIPOTEI KWA MFUKO
Waziri wa Miundombinu jana, Dk. Shukuru Kawambwa.
Wizara ya Miundombinu imenyooshewa kidole kwamba ndiyo imekwamisha miradi ya barabara kwa kushindwa kutoa...
Hili ni eneo la Nzovwe Mbeya (Njiapanda ya Itende) ambayo imekuwa kero kwa kutokea ajali za mara kwa mara na kuua watu kadhaa kwa kugongwa na magari. Kama picha inavyoonekana mbele ni mteremko...
VITENDO vya wananchi kuvamia vituo vya polisi kwa lengo la kuwaua watuhumiwa vinazidi kushika kasi nchini baada ya wananchi zaidi ya 300 kuvamia kituo cha polisi cha Hedaru na kukiteketeza kwa...
Mpira Kwanza na Siyo Kilimo Kwanza:
Footbal first and not 'Kilimo Kwanza'. Watanzania twapenda dhama hizi za 'kauli mbiu' . je wafikiri baada ya hii kauli mbiu (Impliedly it sound to be the...
Msemaji wa Chama Cha Jamii (CCJ), Fred Mpendazoe.
Polisi katika kituo cha Karume jijini Dar es Salaam, imelikamata na kulishikilia kwa muda, msemaji wa Chama Cha Jamii (CCJ)...
kuna tangazo la maralia linarushwa na vituo mbalimbali vya TV, lengo ni kuhamasisha watanzania kutumia vyandarua. lakini kwa nini wameweka hili tangazo kwa kingereza kwa nini wasitumie kiswahili...
Jamani kuna wimbi la matapeli wa fedha za kigeni nje ya maduka ya kubadilishia hizo fedha pale Posta karibu na SH Amon au Akari monoument. Juzi ndugu yangu wa karibu sana alienda kubadilisha US $...
Wakati watanzania tukiwa na hamu ya kusubiri kuona wana brazil wakija tanzania kucheza na taifa stars...mama mmoja amejifungua njian jana mjini mwanza baada ya kukosa huduma hospital ya karume...
wadau mara nyingi nimeona watu wakiadhimisha arobaini ya mtu aliyefariki, je hii ni tamaduni au ni mafundisho ya dini? je jamii nyingine duniania wana utaratibu huu?.
HAKIKA KILA MTANZANIA ALIKUWA NA SIMANZI ALIPOONA KITU KAMA KITUO CHA POLISI CHENYE KUWALINDA WANANCHI KIKICHOMWA SASA WANANCHI WANAAMUA KUJILINDA WENEYEWE....NI KWELI TUKIO LIMETOKEA LAKINI MH...
Those who forget the past are condemned to repeat it
Waungwana, katika pitapita zangu kwenye viwanja vya wasomi huku Ughaibuni, katika juhidi za kuongeza maarifa, nimekutana na makala ya msomi...
Na Yassin Kayombo
MAKATIBU wa CCM wa matawi mkoani Dar e Salaam, wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kugawa kadi kinyume cha utaratibu. Katibu wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ngenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.