Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Israeli commandos have murdered up to a dozen or so people upon a flotilla of six aid-carrying ships on Monday. The events have been played out on our screens and the response has been...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KNOWLEDGE : Knowledge? Do I need to explain what knowledge is? I think I do! We have to have three things be- fore we can have knowledge. First, we must have inference, we must become...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Said Mwema (pichani) akizungumza na waandishi wa habari mchana wa leo kwenye makao makuu ya jeshi hilo wakati alipozungumzia uvamizi wa kituo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo mtoto wangu wa grade 1 anayesoma saint Marry Tabata amerudi na kunipa habari mpya, aliniambia kuwa mwalimu mkuu wao ambaye ni mkenya Mr Kamau kapigwa mapanga na majambazi jana usiku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na usafiri wa mbezi. Nilikuwa nasafiri kutoka posta mpya kuelekea mbezi kwa msuguli, nilishangaa nilipofika kituo cha posta majira ya saa 11.30 nilikuta watu wamefurika sana; bahati...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nikisema hii serikali imejaa vichaa huwa nasema naomba msamaha kwanza kwa kweli bilion 3 kuwaleta brasil masaa 24 wanaleta ni ni humu ndani kiasi cha kuwalipa hizo pesa....wahazabe wameonyeshwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
--YABAINIKA VIGOGO NDIO CHANZO --WAGAWANA MIKOPOKINYEMELA MHANDISI ADAIWA KUWEKA MAKAZI NJE YA NCHI KUSIMAMIA NDEGE ISIYO YA SHIRIKA Siku chache baada ya hazina kupenekeza shirika la atcl...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mume aumbuka, ampa 'kichapo' mkewe MWANAUME mkware nchini Uturuki ameumbuka baada ya kugundua kuwa mwanamke aliyemfungia safari kwenda kumuona face to face baada ya kutongozana kwa kutumia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wednesday, May 26, 2010 Mshukuru Mungu 'If you have food in the refrigerator, clothes on your back, a roof overhead and a place to sleep you are richer than 75% of this world. If you have...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wafanyabiashara wawili marafiki wauawa kikatili Marehemu Reinald Chuwa Marehemu Amedeus Nasau Watu wanaosaidikiwa kuwa majambazi wamefanya kufuru Dar kwa kuwapiga risasi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani naombeni msaada kuna wadogo zangu wanasumbuliwa matokeo yao pale Chuoni , wao wanasema waliambiwa wana Sup somo moja , wakafanya wakafaulu baada ya hapo wakataka kuchukua Academic...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana waziri katika ofisi ya rais (Bunge) aliwaambia watanzania (kupitia vyombo vya habari) kuwa mawaziri wa serikali watazunguka mikoani kueleza mafanikio ya serikali ya awamu ya nne. Maswali...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hi! Ni nani hao? Wandugu, nimekutana na wenzenu hao; picha ya mwaka 1985, enzi Mwl. Nyerere akiwa bado Mkuu wa Nchi na Serikali ya Tanzania. Jacksom Makweta akiwa waziri wa elimu ya taifa, na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAKATI serikali ikiweka msisitizo katika kumkomboa mtoto wa kike kielimu, mwalimu mmoja wa hapa, Deogratius Peace, juzi alifanya kitu kilichowashitua wengi, baada ya kumuoa mwanafunzi wa kidato...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Neno la leo linatoka katika kitabu Kitakatifu kilichoandikwa na nabii Yeremia 17: 5-8, nalo lasema hivi:- 5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa...
0 Reactions
9 Replies
20K Views
Nasikia milango inazidi kufunguka kuanzia j'pili hii Lula wa Ndali Mwananzela ataanzakuoneakana akiandika makala fupifupi za maoni, uchambuzi, hoja n.k kwenye Gazeti la Mwananchi Jumapili. Msikose...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tafadhali jipatie nakala yako ya bure ya kijarida chetu hiki ambacho kinaanza kukoleza moto wa mabadiliko. Tunawashukuru wasambazaji waliojitokeza kuanzia Dar penyewe, Kagera, Mara, Mwanza na...
0 Reactions
80 Replies
13K Views
Waarabu ni watu waliofanya biashara ya utumwa kwa muda mrefu sana na victim wakubwa wa biashara hiyo haramu ni Waafrika! Wazungu pia walifanya biashara hiyo kwa muda mrefu. Kwa upande wa Wazungu...
1 Reactions
104 Replies
15K Views
Mh. Rais nadhani ni muda mwafaka wa kuwafunga gerezani wote waliohusika na mkataba tata wa TRL na ktk hili uanze na aliyekuwa waziri wa miundo mbinu bw. chenge, katibu mkuu wake, na wakurugenzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa zilizosikika kwenye vyombo vya habari ni kwamba marekani imeanzisha mkakati wa kuingilia mgogoro wa Uganda na Lord's Resistance Army. Watu wengi, akiwemo rais Museveni wa Uganda, wamehoji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom