Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta). Malumbano kati ya serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta), yamezidi kushika kasi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanazuoni maarufu nchini, Profesa Issa Shivji. Mwanazuoni maarufu nchini, Profesa Issa Shivji, ameishauri serikali iwalipe walimu mishahara mizuri zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
By DAILY NEWS Reporters, 5th May 2010 @ 00:14, Total Comments: 3, Hits: 821 A FRANTIC final polish was being given to Dar es Salaam late last night as the hours and minutes ticked away until...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya mgomo kuyeyuka katika dk za mwisho, baada ya uhamasishaji na mabango kuandaliwa nini neno la kuondokea! Zaidi ya taarifa za kusitishwa kwa mda mgomo wa wafanya kazi, TUCTA wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzalendo Mwenzangu Sasa umefika wakati wa kuonyesha vitendo, nakuomba unijibu kuthibitisha kuhudhuria kwako katika Kikao kitaakachofanyika siku ya Jumapili 9th May 2010. Kama unavyofahamu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara nyingi viongozi wetu wamekuwa wanafiki. Katika mambo ambayo yanaendelea kumpatia sifa kimataifa Mhe. B.W. Mkapa (Rais Mtaafu wa Tanzania) ni upeo wake wa kufahamu,kuchambua na kuweka sawa...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Kambayuwayu Mimi niliyetaka kuwa Tetere Nilisimuliwa kisa cha mbayuwayu ambaye alikuwa anaishi katika shamba la Mkulima mmoja huko Ukwereni. Mbayuwayu huyo aliishi na wenzake katika maisha ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kiukweli hii tamthilia ya nyongeza ya mishara haitoisha leo wala kesho kwa sababu hapa upande wa serikali unataka ulipe kidogo ili wanyakazi waendelee kutomika milele.upande wa wawakilishi wetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vijimambo vya fainali ya kiduku Thursday, May 06, 2010 3:02 AM Ile fainali ya mchezo wa kiduku ambao wanaume huvaa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
je mh Rostam kaitema hii kampuni? Sababu ya swali langu ni sababu hali ya kampuni kila kukicha inazidi kuwa tete - Mshahara miezi zaidi ya miwili haijalipwa sasa? - Madeni ya kodi yanazidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
IGP amwaga vyeo polisi, Askari zaidi ya 500 wanufaika Wednesday, 05 May 2010 22:41 0diggsdigg Boniface Meena JESHI la Polisi limepandisha vyeo maafisa wa kati na juu zaidi ya 200 na kuwapangia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zamani kituo hiki cha tv kilikuwa bora sana,habari ,vipindi nk siku hizi wamefutika kabisa katika ushindani kwani inaboa kutazama hata live wao wanajiunga na TBC tu,hawajawahi kurusha live hata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Women under 50 'face work stress risk' By Adam Brimelow Health correspondent, BBC News A heart attack deprives the heart of oxygen, causing permanent damage Stress at work raises the risk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mkanganyiko wa nne wa kiitifaki unaomhusu JK na mkoa huo! MKOA wa Arusha umeingia tena katika “mzozo wa kiitifaki” baada ya mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mary Kisaka, kualikwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Meaning of Manyara - TANAPA got it wrong By Thomas Ratsim Manyara was formerly the name given only to the Lake with an area of 231 square kilometres In 1960s it became the name of the 329...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
KATIKA GAZETI LA RAIA MWEMA Toleo No. 132 LA TAREHE 5 MEI 2010, IPO HABARI KUWA MTENDAJI MKUU WA TANROAD NDG EPHRAIM MREMA ANAWADHARAU VIONGOZI WA WIZARA YA MUINDO MBINU. MIEZI YA NYIUMA KIDOGO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa hakika wafanyakazi wa Tanzania hatuna kiongozi, na hatutakaa tupate haki zetu hata kwa dawa. Napendekeza huyo kiongozi wetu ajiuzulu baada ya kutudanganya watanzania kama watoto. Mambo ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
He was my best friend Or that's what I called him He was never afraid So 'kidume' they called him but he died..:angry: It was this Friday The night to Saturday He was out on his way To catch some...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika natamani VOLCANO IENDELEE KUTOKEA WAKOSE SAFARI ZA NDEGE WAENDELEE NA MIKUTANO YAO... Watanzania wote mnaombwa hizi siku 4 ni za kumuomba MUNGU...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu wanne kwa tuhuma ya kupatikana na silaha za mbili za kijeshi aina ya SMG zikiwa na risasi 492 kwenye treni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom