Obama Adaiwa Kuisaliti Ndoa Yake
Vera BakerMonday, May 03, 2010 3:47 AM
Rais Barack Obama wa Marekani amekumbwa na skendo la kuisaliti ndoa yake kwa kujivinjari na mwanamke aliyekuwa mstari wa...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ametoa onyo kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya ukataji viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi...
Bidhaa feki zamkera Rais Kikwete
Rais Jakaya Kikwete, amesema bidhaa feki zinazoingizwa nchini, zimekuwa kero katika maeneo mbalimbali na kuwataka wadau, wakiwamo wafanyabiashara na wawekezaji...
jamani nielewesheni hawa jamaa wameanzia wapi maana kila kukicha kunazaliwa wapya au kwa kuwa uchaguzi unakaribia walikuwepo wapi miaka yote au ndio wameona makula ni hapo ha wao.
maana...
K wa wale mnaopitishwa na vingora tunawashauri si mnaenda huko game kusalimiana kuchekeleana ama kusifiana suti zenu bomba mmenua nua wapi ama yale mattoto ya rwanda yana shepu jamani
nawashauri...
Kweli karibu mgeni apone imeendelea hadi kwenye upande wa kirooho pale
watanzania wanapolazimikakuamka mapema asbh na hivyo kufika mapema mjini
kutokana na kukosa cha kufanya na milango kufungwa...
Hotuba ya mheshimiwa JK aliyoitoa kwa wazee wa Dar inasemekana iliandaliwa kimakosa na watendaji wake. kutokana na habari zisizo na uhakika inadaiwa kuwa hotuba hiyo iliandaliwa maalum kwa mh...
Leo kweli nimeamini Watanzania wanaweza kuwahi maofisini..hakuna cha anaepanda dala dala wala mwenye gari binafsi, watu wengi leo (Wa Dar) wamefika maofisini kabla ya saa moja asubuhi..mnaonaje...
Sina hamu ya kupost ,sina hamu ya kazi ...kichwa hakifanyi kazi kabisa ..
May .....Jun,July August,Sept....October ......October ...
Hapa sijui anawaza nini??
Mi nikijaribu kuangalia maisha yalivyo magumu kila kitu a ghali shilingi nayo kupata ni shida halafu mweshimiwa ndio hivyo ameshapiga bonge la bit kwa yeyote atakayegoma kazi hakuna na viongozi...
WAZEE zaidi ya 1,000 waliokuwa wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete juzi kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee walikuwa wakimshangilia mara kwa mara, lakini si Bi Asha Omary, 70, aliyekuwa kijijini...
Jamani hivi Tanzania ni Dar es Salaam peke yake? Kwani kila kitu Dar, ujenzi/ ukarabati wa miundombinu ya kwanza dar, hivi ni kwanini? Ndo maana mikoa mingine haiendei kwanini lakini?
Let's face it. Men and women want different things. They think differently, talk differently and learn differently. Many women want self defense training, but they shy away from firearms training...
THE president of the Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA), Mr Omar Ayoub Juma (left) declares the suspension of the countrywide strike in Dar es Salaam. Right is the Acting Secretary...
Kunatabia imezuka katika hizo taasisi hapo juu tunapo tuma wake zetu kufuatilia masuala labda kulipia kodi au kuomba mkopo kutoka bank,inapotokea mke wako akapangiwa ofisa mikopo mwanaume au ofisa...
Kwanaza nakupongeza kwa hili hadharani si mwenzio kikwete analea wachafu Nec kuogopa kukosa kura asilimia 100 wakatyi ana 70 tayari za wizi
Raisi wa zanzibar Mh AMANI.A.KARUME amewashangaa...
Bunge la ubelgiji limepiga marufuku hijab maofisini mashulen na sehemu za starehe
ilichhukua kama liss limoja kuamua kuafikiana hili pale baadhi ya wabunge kugoma kukualiana
na hili ndpo wakatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.