Watanzania tuendelee kusali na kuomba mikutano itokee tanzania
kama ulipita asbh ya leo basi nenda kesho abh uone jinsi sam nujoma rd ilivyopendeza ..nimepita usiku huu kuna magari makubwa ma tatu...
Taarifa zilizonifikia muda mfupi uliopita ni kuwa ile Garage maarufu kama "KWA WACHINA" iliyopo kwenye makutano ya barabara ya Ally Hassan Mwinyi na Rose Garden inaungua moto...
Waungwana niambieni!! Kesho tumepigwa mkwala hakuna kugoma na kuanzia kesho hiyohiyo tunategemea traffic JAM kubwa kuwahi kutokea hapa DSM.
Sasa kama nimekwama kwenye JAM ikapelekea kuingia...
hivi hawa waheshimiwa huwa wanakosa kazi??we mbunge mzima unaenda kuhudhuria na kukabidhi taji watoto wa kiume wanaonyonga viuno km mashoga kwa dola 250,inaingia akilini kweli?ningemshauri huyu...
Mh lukuvi sisi ni wanatanzania tunaoishi hapa kwenye roundabout cha game
kuna bar iko pembeni ila ndani ya hiyo bar kuna guest ambayo usiku na mchana
inatusumbua watu kwa kupiga kelele za mapenzi...
Hii inanishangaza jamani pita pita kwenye jamii zetu mbalimbali utakuta katika kikundi cha mazungumzo (bar ndiyo zaidi) jambo lolote linalo zungumzwa na mwenye pesa watu wanalisikiliza kwa makini...
We (Kujali International and HOCET) are inviting individuals and organizations to join us for our 2010 Kilimanjaro Fundraiser Climb Challenge. The goal of this fundraising is to help to complete...
Sunday, May 2, 2010 KAZI IPO JAMANI,TOLD YA ITS A FUNNY SITE !! HAYA SASA TWENEE KAZI ..TELL ME SOME KUHUSU HIZI PHOTO... Wewe si umeona gari imezimika wewe haya sukuma ndio uende shule utakosa...
Ahadi za urais 2005 zamtesa Kikwete uchaguzi wa mwakaniRais Jakaya Kikwet, mzigo mzito wa ahadi zake za mwaka 2005 unamkabili uchaguzi ujao 2010.Na Mwandishi Wetu
MIEZI michache ikiwa imebaki...
siku hizi nalisikia hili neno sana, hasa katika tv na radio, kwa mfano utasikia; mtanzania wa kawaida hafaidiki na madini ya nchi yake.......wakuu naomba ufafanuzi kidogo, mtanzania wa kawaida ni...
Mheshimiwa anapokanusha kauli yake mwenyewe juu ya ongezeko la mishahara kwa 100% kwa wafanyakazi wa kima cha chini.
Wadau naombeni mnieleweshe, maana nahisi sielewi kitu hapa, anapodai...
KILIO NA SIMANZI IMETANDA MJI WA MOSHI PALE MAMA MMOJA KUTOKA KIJIJI CHA KARIMA MOSHI
KUWACHARANGA WATOTO WAKE 4 3 KUFA HAPO HAPO NA MMOJA KUISHIA KUTAFUTA PUMZI PALE ICU MAWENZI..HABARI ZAIDI...
Jamani kwa mliosoma mwananchi leo nimeshtuka kabla ya kukasirika na kutoa machozi pale nilipomwona mh lukuvi akipiga kelele mbele ya muhandisi aliekwenda nae kwa watu walio mabondeni/...walipofika...
Serengeti.
KIJANA mmoja aliyekuwa akisaka nafasi ya kujiung na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wilayani Serengeti mekufa wakati akimalizia mbio za kuzunguka mara nne uwanja wa mpira wa miguu...
When great American jazz musician, Ray Charles was going blind, his mother told him: Ray, I wont beat around the bush with you. You are going blind. The Doctors say there is nothing they can do...
Wauguzi katika hospitali ya mkoa ya Bombo wakiendelea kuwahudumia baadhi ya majeruhi wa ajali ya wanafunzi wa Shamsili Maarif waliopata ajali mwishoni mwa wiki. (Picha: Ramadhani Juma, Tanga)...
DONOT LOOK BACK AND ASK WHY,
LOOK FORWARD AND ASK WHY NOT'
'Why did I get married?'
In most cases, especially in relationships, you will only get 80% of what you NEED and you will hardly...
Me and My Father
.......
When I was 4 Yrs Old : My father is THE BEST
..........
When I was 6 Yrs Old : My father seems to know everyone
.........
When I was 10 Yrs Old : My father is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.