Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
wakuu salaam! ninawaandikia kutaka kujua lakini pia kuonyesha wasiwasi wangu juu ya uendeshaji wa baadhi ya shule za private!!kijana yetu mmoja anasoma shule ya ujenzi iliyoko mkuranga!mwanzoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, hili swala la kampuni ya Tanzanite 1 kunyanyasa wafanyakazi wao kule migodini Arusha lilishawahi kurushwa na ITV na serikali ikaahidi kulishughulikia. Cha ajabu leo asubuhi wakati...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
04/21/2010 Benki ya Exim imefungua kadi za VISA PLATIMUN na MasterCard kwa ajili ya malipo kwa njia ya mtandao. Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Sabetha Mwambenja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali kupitia naibu msajili wa maabara bwa thomas mshana imefunga maabara kubwa na maarufu hapa mwanza kama bahama h l.kwa kukutwa wakigawa dawa na kuandika karatasi za kwenda kuchukulia dawa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni jioni sana unarejea nyumbani kwako uliko panga uswailini,baada ya uchovu wa kazi,masomo,na zaidi foleni ya jijin,unapigwa na butwaa kuona mtaa unaoishi umezibwa….zimewekwa speaker kubwa na...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
....kujianika si jambo jema sana katika jamii....kubadirishana mawazo kunajenga akili,.. .....taifa lolote haliwezi kuendelea kwa kuwa na idadi kubwa ya wajinga... bali wenye uchungu na nchi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Majuzi nimeshhangaa sana kuona watu walioua watoto wachanga si chini ya miamoja.watu wazima si chini ya hamsini jamani leo hii wameamishwa kutoka mwananymala kusambazwa hospital nyingine Bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali: Hatufuti adhabu ya kifo na Datus Boniface SERIKALI imesema haitafuta adhabu ya kifo kama nchi nyingine za Afrika zilivyofanya, hadi itakapopokea taarifa za wananchi kupinga adhabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Humphrey Fellowship Program provides a year of professional enrichment in the United States for experienced professionals from designated countries throughout the world. Fellows are selected...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
UUZAJI wa Majengo ya Shirika la Bima (NIC), unatarajiwa kuliingizia shirika hilo Sh bilioni 40 ambazo zitatumika kuwalipa watu wote ambao wanalidai shirika hilo. Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauliza tu. Eti ni kweli baada ya kuwa offline kwa kipindi kirefu jf imepoteza dira?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Vp wakuu? Nimeuliza tu nijue opinion za watu...mi binafsi naona kam ile ya zamni ilikua nzuri sana ukianzia kwenye layout rangi na pia hata urahisi wa kupata vitu mbalimablai hasa new post hapa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hahaaaheheeehihihhihohohoohuhuuuu!
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nilikua najiuliza kama vikomo vya nauli vinavyopangwa na serikali vinawafanya wamiliki wa magari kushindwa kumudu gharama za uendeshaji na hivyo kupendelea kuajiri madereva wasio na sifa bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
- Process in search for good Laws relating to the Right to Information must not be neglected by the Government of Tanzania ARUSHA, Tanzania April 21, 2010 On 14 April 2010 during the current...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Skandali ndani ya Kanisa Katoliki, hasa katika Nchi Zilizoendelea za Ulaya Magharibi na Amerika, inazidi kuchanua kiasi cha kumhusisha Papa Mtakatifu wa sasa alipokuwa Padri huko kwao Ujerumani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SERIKALI imeagiza kutumika kwa Kiswahili katika usaili kwa watu wanaoomba kazi kwenye Wizara na Idara za Serikali na pia imetaka matangazo yote ya kazi za idara za umma yatolewe kwa lugha hiyo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
BAADA ya kusita kwa muda, hatimaye Rais Jakaya Kikwete ametia saini Sheria ya Mawasiliano inayolazimisha kampuni ya posta na simu kujisajili kwenye Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE). Hadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
"Distinguished Participants, Ladies and Gentlemen, In 1999, as the world was preparing to welcome the new millennium, there was a tremendous worry that the presumed Y2K virus, will crash the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I have seen this on engadget,a techno gadget website.It is about two fellows who have created a mini robot to take photographs of animals in Tanzanian national Parks.namely Ruaha and Katavi...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Back
Top Bottom