Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Meat Market The predominant tourist in Zanzibar seems to be the Italian. I have no idea why there are so many Italian tourists in Zanzibar – but they are everywhere – and boy, do they...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Utapeli Kwa Njia ya SMS – Tuwe Makini Ndugu zangu kuna watu wameanza kulalamika kwamba wanapata ujumbe kwenye simu zao za mikono kutakiwa kuchangia vyama kadhaa vya kisiasa nchini , nilipopata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hatimaye klabu za Simba na Yanga, jana zilicheza mechi yao ya kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Uhuru. Ni imani yetu kwamba baada ya mechi hiyo, walau tambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nasikia Kesho unasomwa mswada mpya wa Madini Bungeni -- na utasomwa mara tatu ndani ya Mkutano huu wa 19 wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania -- na kupitishwa. Mwenye taarifa zaidi na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo nimetua mwanza kwa shuguhuli fulani na shguhuli yetu inafanyika hapa lakaiiro hotel hivyo nitakuwa hapa kwa siku tatu(nalala hapa hapa) lakini nimeshanagzwa na sare za wahudumu wa hapa...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba sasa mvua inanyesha katika jiji la Dar es Salaam na maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Mvua ina baraka na matatizo yake. Moja ya tatizo la mvua ni mafuriko kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya usubuh wahishimiwa, Hizi post zinazokuwa zimepigwa bold mwili mzima wakati ni habari ndefu mimi binafsi sizipendelei kabisa! naona kama mwandishi anakuwa analazimisha watu kuiona post...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
GENEVA (Reuters) - Tanzania has naturalised 162,000 refugees from Burundi in what the United Nations refugee agency UNHCR said on Friday was a historic move that other countries should copy. A...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani hivi ni kweli jk amezunguka dunia kuliko vasco dagama ?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania imepoteza rasilimali ya madini nyingi na mapato mengi huku umasikini wa wananchi ukiongezeka. Sasa sheria Mpya ya madini inakuja Bungeni tarehe 19 na 20 April 2010 kwa hati ya dharura...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Woman becomes first person banned from EVERY pub and club in the country A woman has become the first person to be banned from buying or drinking alcohol anywhere in England and Wales...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Na John Dotto MTANDAO hatari umeibuka jijini Dar es Salaam ukijikusanyia mamilioni ya fedha kutoka kwa vigogo na wafanyabiashara maarufu baada ya kuwatengenezea mafumanizi ya kupanga na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear Sir, I Love your Wife. thank you.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kama jibu ni ndio andika Y Kamaa hapana andika N kama huna jibu andika S
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni vigezo gani vilitumika kuuita ukumbi mdogo wa Bunge Dodoma jina la mhesh Pius Msekwa badala ya Chief Adam Sapi,aliyekuwa Speaker wetu wa kwanza?:painkiller:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMANI HILI SI MTIHANI HUU AMA MAJAARIBU Ya ....kama mnaamua kuwazawadia wateja wenu wanufaike na mtandao wapen uhuru wa muda si mnajipangia mnavyotaka mida ambayo mnalala mkujua wenzenu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Why holding cash can provide pain relief Pain buster: A survey suggests handling money can reduce physical discomfort Headache? Sore back? What you need is a wad of cash. Research...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI?? This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous! Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
MTOTO wa miezi sita ametafunwa korodani zake na mbwa baada ya kuachwa peke yake ndani ya gari katika nyumba moja huko California, Marekani. Mtoto huyo aliachwa katika kiti cha gari na mama yake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom