Staili ya wanawake wengi nchini kuyatengeneza maumbo yao kwa kutumia dawa za Kichina, imeungwa shubiri na serikali ambayo imetangaza kuwa wote walioshepu figa zao hawawezi kupata msaada wa...
Kuna mazoea kwamba waandishi wa Ulaya na Amerika ni watafiti zaidi katika habari zao. Lakini yanapokuja masuala ya Kanisa Katoliki ni rahisi nao kukumbwa na ugonjwa uleule unaoitwa uvivu wa...
MCHUNGAJI Christopher Mtikila anashikliwa katika kituo kikuu cha jeshi la polisi kwa kilichodaiwa kuwa ni anavunjisha amani ya nchi, kwa kusambaza waraka unaomkashifu Rais Kikwete...
Kwa siku ya pili leo, nimetembelea duka moja ambalo liko njia ya kuelekea nyumbani. Ni duka kubwa kidogo na wanauza vitu vingi. Jana niliomba waniuzie vocha ya Vodacom ya shs 5000 lakini hawakuwa...
Naanza kwa kuwapa pole kwa msiba wanafamilia wa Chifu Marealle, poleni.
Ila nina ujumbe wao huu......
Siku hizi imekuwa taabu jamani, mara kuna mbio za chifu marealle, kumbukumbu maalumu ya chifu...
Nasikiliza kipindi cha Jahazi hapa cha Clouds FM, Ephraim Kibonde na Gadna wametumia zaidi ya dakika 5 za kipindi chao wakiponda na kulalamika kuwa JF inajadili mambo binafsi ya watu badala ya...
Three hungry mouths saved by publics generosity digg
By Elizabeth Tungaraza
Several people have extended a helping hand to Sophia Salum, a 28-year-old mother whose anguish was decisively covered...
Kwenye taarifa ya TBC1 jana , kulikuwa na habari za kimiujiza kutoka huko Songea, ambapo kuna mahali pamegundulika kuwa na kisima au chanzo cha pesa cha kipekee, na watu wengi wa rika mbalimbali...
Frederick Katulanda na Israel Mgussi, Dodoma
BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya watu wenye ulemavu wa 2010, huku Mbunge wa Karatu Dk Willibrod Slaa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick...
Larry King seeks 8th divorce
By Alan Duke, CNN
April 15, 2010 7:49 p.m. EDT
Shawn and Larry King attend a party in February. Both cite "irreconcilable differences" in their filings.
STORY...
Wadau mliopo Town... Tunaomba mtujuze kuna duru zimetujuza kuwa PPF House inaungua Jengo hilo lipo katika makutano ya Samora na Morogoro Rd.
Doh mbona moto kila mahali sasa...
Katika pitapita yangu kwenye mtandao wa gazeti la Tanzania Daima nimekutana na habari ambazo zimenifanya niamini kwamba hawa jamaa (wa Tanzania Daima) hawapo makini kabisa....Hivi wahariri...
NI vita ya ushindani wa kibiashara ilikuwa imehamia barabarani baada ya malori mawili ya kampuni zinazopambana vikali katika biashara ya vinywaji laini, Pepsi na Coca-Cola kugongana na kusababisha...
All Rights remain to Alex Marwa's Photos (Faceboook.com)
Mambo ya Wachaga kubana matumizi : dereva, bi harusi, bwana harusi na best man ( pic courtesy of Imma Mbuguni)
Hi,
Naombeni msaada,
mimi nina uso naturally una mafuta kweli na huwa sipaki mafuta kabisa
also poda huwa sipaki cause after few minutes inakuwa imeyeyuka sababu ya mafuta.
Pia nadhani sababu ya...
Wadau, mwezi Februari 2008 baadhi yetu tulipigwa na butwaa pale Serikali ilipotangaza kuupiga marufuku mtandao wa JF ambapo mwazilishi/waanzilishi wa JF walikamatwa na Polisi Jijini Dar es salaam...
Stay inside': Health chiefs' extraordinary warning as volcanic ash begins to fall on parts of Britain
By LIZ HAZELTON
Last updated at 1:07 PM on 16th April 2010
Comments (20)
Add to My Stories...
Salim Said
SIRI ya kuchelewa kwa posho za askari polisi mwezi Febuari mwaka huu imefichuka baada ya kudaiwa kuwa maafisa watatu wa jeshi hilo walitoweka na hundi ya malipo hayo yanayofikia Sh3...
JAMANI SI JAMBO JEMA KUONGEA UWONGO.
HEBU ONENI HUYU MZUNGU ALIVYOPEWA TAFSIRI ISIYO SAWA YA NENO MANII.
http://www.michaeladams.info/art/gallery/Shahawa.html
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.