Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimepata habari ambazo zinatakiwa zithibitishwe kuwa AICC--Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha--kilishtakiwa na aliekuwa mwajiriwa wake aitwae Dr Makando na Makando ameshinda kesi ambapo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KATIKA hali ya majibizano kati ya ndugu wa mume na mke ni hospitali gani apelekwe mwanamke aliyekuwa mjamzito na jibu kutopatikana mapema ilifanya mwanamke huyo aanze hatua za awali za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana ndugu wote, Nimeingia Dodoma kwa mara ya kwanza jana jioni, nipo town najaribu kutafuta sehemu ya masaji (Massage Parlour) but sijafanikiwa kabisa. Tafadhali kama kuna mtu anaweza...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Mwanzo 1. Hapo mwanzo,katika hii sehemu tunayoishi,kulikuwa hakuna kitu.Halafu hii sehemu ikaanza kufukuta,kwa sababu ya nguvu iliyokuwa inaelekezwa hapa kutoka Paradise[Mbinguni],anakoishi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
naamini kutokana na ushindani uliopo wa mitandao ya cm ipo cku mtandao mmoja utaamua kutumia kiwango kmoja kwa mitandao yote yani kama ni thumuni basi mitandao yote na ililikitimia watanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Catholic church child sex scandal hits Brazil as priest, 83, is arrested over alter boy abuse allegations Last updated at 4:28 PM on 20th April 2010 Pope Benedict leads the funeral...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MMOMONYOKO wa maadili unaelekea kuiathiri jamii ambapo sasa baadhi ya viongozi wa dini wanazidi kuingia matatani kutokana na kushiriki katika vitendo vya ngono. Mchungaji wa kanisa la African...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Far more people in India have access to a mobile phone than to a toilet, according to a UN study on sanitation. India's mobile subscribers totalled 563.73 million at the last count, enough to...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa BBC nchi ya misri imedai kutumia maji ya mto nile ni haki yake na haiwezi kuruhusu haki hiyo ipokonywe na nchi kama Kenya, Tanzania na Ethiopia ambapo mto huo una vyanzo vyake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WABUNGE wametaka raia wa Kenya na Uganda walioajiriwa katika sekta mbalimbali nchini, kabla ya kuanza kwa Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki, warudishwe makwao. Pia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili zoezi la kuichangia CCM bado halijaniingia akilini vizuri. Hawa jamaa ndo wamekuwepo madarakani tangia tunapata uhuru. Wametuibia kwa dizaini zote yaani hata makovu ya Richmond, mikataaba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, hivyi yule jamaa aliyeenda India kufanyiwa upasuaji baada ya kutumia madawa ya kichina na kusababisha uume wake kuwa mkubwa na hata kukimbiwa na mke wake amesharudi? Jeh! mtalimbo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau, nilikuwa nasikiliza BBC Swahili leo asubuhi na ndipo ilipokuja habari kuhusu adhabu ya kifo kwa upande wa nchi yetu. Takwimu zinaonesha kuwa kipindi cha awamu ya kwanza na ya pili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu. Nachukuwa nafasi hii kueleza kile kinachonishangaza. Hivyi karibuni kiwanda cha Coka kupitia vinywaji vyake walitangaza zawadi mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
420, 4:20 or 4/20 (pronounced four-twenty) refers to consumption of cannabis and, by extension, a way to identify oneself with cannabis drug subculture.[1][2] The term originated from a group...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TATIZO la ajira nchini limeendelea kuongezeka na kusababisha maelfu ya Watanzania kugombea nafasi za kazi chache zinazotangazwa sasa hivi kwenye mashirika mbalimbali. Miongoni mwa eneo ambalo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, kutokana na kushamiri kwa makanisa mengi hapa nchini na hata mengine kuongozwa na wachungaji (wanavyojipachika vyeo) ambao hawajaoa ili hali wao ndiyo wakubwa wa makanisa hayo. Jeh! Ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hawa Learned Proffession: nakwazika sana mnapotumia kiingereza mahakamani na upande mwingine masikini ya Mungu mtanzania mwenzio hata hajui unaongelea nini!!! (na anajiwakilisha mwenyewe) sijui...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Should African religions be preserved? Traditional African religions are still alive and well in Africa, says a survey done by the American research organisation, Pew Research...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunayakosa maoni yenu na mawazo yenu; nikiangalia maoni yanayotolewa mara kwa mara na wale ambao tumo humu siku nyingi ni wazi kuwa sehemu kubwa ya watumiaji hawajajiunga na ni watazamaji tu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom