Unajua kuna mambo mpaka leo mimi sielewi sijui tulilogwa kuyaacha au tulilazimishwa.
Mfano mtu akienda kwa mganga wa jadi akapata tiba yake na kujiondokea bila sijui mambo ya ramli au oo Fulani...
Ubepari ule wa asili kabisa una matokeo mengi mazuri na mabaya; nitawaacha wengine wayazungumzie mazuri lakini lakini itoshe miye kusema tu kuwa mojawapo ya matokeo mabaya ya ubepari ni mgongano...
From DAILY NEWS Reporter in Bukoba, 1st April 2010 @ 12:00, Total Comments: 2, Hits: 422
THE Immigration Department in Kagera Region today arrested ten Bangladeshi citizens who were on transit to...
Date::4/1/2010Wabunge wataka rais anunuliwe ndege nyingineExuper Kachenje
WAKATI kelele kuhusu gharama za ndege ya rais zikiwa hazijapata majibu ya kuridhisha, Kamati ya Bunge ya Miundombinu...
Wana bodi, kama kawaida yetu sisi Watanzania hushirikiana kwenye shida na raha, kuna binti Mtanzania kwa jina la Eva Gembe, aliyekuwa amelazwa ICU hospitali moja mjini Toronto nchini Canada...
Katika mabadiliko mapya nataka kuwepo na uwezo wa kutuwezesha wachangiaji kupost clips za video hasa kuhusu masuala fulani fulani badala ya kueleza tu hii itafanya mjadala kuwa moto moto ndani ya...
Dear all, I hope you all had an enjoyable Easter break.
Mine was unbearably long. I am far from my biological family and on top of that due to the ongoing maintenance work on JF I had to be far...
HATMA ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), itajulikana wiki ijayo wakati Waziri wa Miundombinu, Dk Shukuru Kawambwa atakapotoa taarifa ya utendaji wa shirika hilo kwa Kamati ya Bunge ya...
Katika kuelekea katika sikukuu hii ya Pasaka nawatakiwa wadau wote wa JF Pasaka njema. Make kwa amani na upendo. Natumaini yalee mambo ya Feb 14 hayatakuwepo. Make huku mkitafakari kuhusu...
Kwa imani yako, likumbuke tukio hili na lizidi kukuongezea imani yako.
Ni tukio la ajabu sana ambalo Mwenyezi Mungu Muumba vyote(Yehova) alilifanya. Yaani kumtoa mwana wake wa pekee asulubiwe kwa...
From MARC NKWAME in Arusha, 31st March 2010 @ 11:54,
Daily News
POLICE in Manyara have arrested a South African national who had allegedly fed six Tanzanians to dogs about a decade ago.
The...
kama wewe ni muhusika wa walioathirka kwa kunynyaswa kijinsia basi
kuna timu ya wanasheria kabambe wamejitolea ofaa maalum mpaka
mwezi wa tano kuwasaidia bureeeeeeeeeeeeeee kwa maoni zaidi...
Wapendwa ktk bwana
habarini za saizi,najua ni vigumu kuamini lakini
hali hiyo nilioandika hapo juu imenisikitisha kuamua kuweka wazi mwenye msaada nini cha kufanya kupunguza huu uutapeli wa...
Wakati waziri wa miundo mbinu abatarajiwa kukutana na wanakamati wa bnunge kuelezea kuhusu atcl,ni wakati muafaka kwa dk Kawambwa kuwaleza watanzania zaidi ya million 35 ile ripoti ya tume...
sidhani kama kuna mutu mwenye kuping hili..masikini hulala muda mrefu thani matajiri.....source jiangalie mwenyewe,if uko Infact tajiri unajua how much unalala na kama uko masikini tena unajua...
wapendwa niktumia comp yangu inafika wakati inaonyesha hiyo kitu mtanisaidiajeInternet Explorer cannot display the webpage
What you can try:
Diagnose Connection Problems
More information...
Jamani mambo haya
kwa wanaoangalia tbc naona
tigo imeamua kupunguza bei ya bidhaa zake kutoka
sh moja kwa sekunde na kufikia 1/2 sekunde
hakika tigo inatisha tunawashukuru kwa hili msiwe
kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.