Kuna habari kuwa kuna ajali nyingine zimetokea hadi hivi sasa vyanzo vinadokeza watu 6 wamepoteza maisha. Hili wingu hili.. lazima lifikie kilele kwa kuondoka na mtu apendwaye au mashuhuri...
Huu ulikuwa ni mojawapo ya mchango wa Mpendazoe August 1, 2009 Bungeni (msisitizo wangu)
Maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu Uteklezaji wa Azimio la Uuzwaji wa Nyumba za...
Wapangaji nyumba Dar kwa kuhama hama.
Wakuu heshima kwa wingi kwenu. Jamani naomba mtazame mfano wa jamaa huyu kwa jina la mpangaji nyumba Dar es Salaam ambaye anawakilisha wengi wa wapangaji...
WAKUU WANA JF JINA LA BWANA YESU KRISTO LITUKUZWE
Yoh 3:16 inasomeka hivi ' kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwana wake wa pekee ili kila amwaminie asipotee, bali awe...
Hii picha hapa chini nimetumiwa na mdau mmoja wa kule Kigamboni. Inasemekana hawa vijana ni wezi wa hicho walicho kibeba.... sasa swali langu hapa Je kuwatembeza utupu hawa vijana ni haki?
Siku ya Jumatano,kwa kawaida ilikuwa siku ya mapumziko. Kama kulikuwa hakuna kazi muhimu ya kufanya,Yesu aliwaagiza wafuasi wake kupumzika. Kwa hiyo Jumatano hii Yesu akasema kwamba atakwenda peke...
CHUKI PARTY
Habari gani wapendwa.
Nimepata wazo moja hivi ambalo ningependa kuwashirikisha, mara nyingi tumekuwa tukifanya party za kukusanyika marafiki, fans na watu wengine wa karibu...
Mfugaji wa jamii ya Kimasai, Mariam Kibuda (45), mkazi wa kijiji cha Membo Maguha, Kata ya Gairo wilaya ya Berega mkoani Morogoro, amekufa papo hapo baada ya "mgolole" wake kuingia kwenye mnyororo...
WADAU TUMSAIDIE MTOTO TUNTUFYE..
Mtoto Tumtufye Mwakasaka (8) ambaye kwa sasa amekatisha shule na kuja Iringa mjini kutafuta wasamaria wema kwa ajili ya kunusuru maisha yake baada ya mwili wake...
A 21-year-old man plunged to his death in an apparent suicide jump off the Empire State Building during the evening rush hour on Tuesday, authorities said.
The man was dead when rescue workers...
My sweet heart alipewa kadi ya kwenda kwenye kibao kata, kibao kata kinafanyika leo kule ilala. Mimi ndiye niliyeipokea hiyo kadi siku ya jumatatu.
Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo ya kike nikajua...
waziri wa fedha aliutangazi umma akuna haja ya kuendelea na 'ukaguzi wa nyumba ya gavana maana gavana amejibu kila kitu kwenye tume ya wabunge alioitwa kuulizwa
EMBU TUELEZE WAZIRI MKULO NA HUU...
Lori moja kubwa likiwa na kontena ndefu likiwa linaelekea njia ya tanki bovu kushuka barabara ya mboma limekata waya za umeme 4 ,tunaomba wenye uwezo wa kuwasiliana wawajulishe kabla ya maafa...
Wapambe msitujadili mapenzi yetu hayawahusu,ya kwako yamekushinda ya wenzako utayaweza,achen kudiscus mapenzi ya wenzenu,kujitongozesha kwa nguvupenzi ni bonge la issue kwetu cici wapendanao...
Flier ya Traffic light FEKI
Hivi kweli unasubiri mtanzania mwenzio aanzishe kitu then wewe unataka tu kutengeneza pesa kwa kutumia idea zao?
Huyo ni uizi wa kiaina na vile vile unaweza kuwa...
Kama Desturi Yake Nigeria Man Ni Lazima Afanye Unaigeria Wake.
The innocent Kenyan girl was left to pay for the scandal
"She was a good care worker, always punctual and honest in her duty"...
Jamani tumwombe sana mungu atusamehe.......kama kweli sisi wote tumeumbwa kwa mfano wake, na kwamba wote tu watu wake!! Basi..... Ni wachache watakaouona ufalme wa mbinguni........!! Je wewe uko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.