Sheria inalenga katika kuweka utaratibu wa kudhibiti matumizi ya fedha wakati wa kampeni za uchaguzi na kuweka mfumo wa kisheria wa uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na vile vile...
Huku ikiandamwa na zimwi la kutolipa waafanyakazi wake waliowaachisha
na kufikia kwenda kwa waziri mkuu,kampuni ya ndege ya ATC imekumbwa na kashfa nyingine kwa kuajiri kampuni moja ya ulinzi...
Kila zinapotokea ajali za mabasi ya abiria sababu kubwa inaelezwa kuwa ni uzembe wa madereva, kwa maana nyingine nielewavyo mimi ni kwamba abiria wanaopoteza maisha wanakuwa wameuliwa kwa...
wezekana kweli tukawa tumetokea huko kama wanavyosema watalamu ?
Ape to Human Evolution The history of an idea
sub { line-height: 0; }a { text-decoration:none }
The idea of ape to human...
jamani kuna wale ndugu zetu waliokuwa wakifika uwanja wa ndege kila siku
kusbiri ndege ya kwenda nje kuhubiri,..na kuishia kurdishwa na magari ya polisi kutokana na usumbufu wa mara kwa...
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo, mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
Jiji la Mbeya lageuzwa 'shamba la bibi'
KWA serikali Shilingi milioni 68.2 ni pesa kidogo sana, na kwa mafisadi hiyo sio pesa kabisa kwao kwani inawatosha kununulia whisky tu, lakini kwa...
Mkapa anataka azomewe vipi zaidi?
HIVI karibuni jina la Mkapa lilirejea kupamba tena kurasa za magazeti yetu kadhaa nchini.
Mara ya kwanza ilikuwa ni kwenye kilele cha...
Wezi Wapora Duka na Kumsahau Mtoto Wao
Monday, March 01, 2010 5:24 AM
Polisi nchini Marekani wanawatafuta wezi waliovamia duka moja la madini na vito vya thamani na kuiba kabla ya kukimbia...
MKAZI wa Kijiji cha Bahaba wilayani Kondoa mkoani Dodoma, Degera Tamba (23), amefariki dunia baada ya kuchomwa mshale tumboni na watu wasiojulikana baada ya kumuhisi kuwa ni digidigi.
Hayo...
BAADA ya Mchungaji wa Kanisa la Uponyaji, Edward Kishimbo kukamatwa na polisi kwa kukutwa akijiunganishia na kutumia umeme wa Shirika la Umeme (Tanesco) katika kanisa lake isivyo halali, waumini...
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja amempa saa 24 Meneja wa Mamlaka ya Maji Wilaya ya Sengerema, Thomas Mwenda kuhakikisha kuwa mradi wa maji wa Nyamazugo unasambaza maji haraka kwa...
MBUNGE wa Maswa, John Shibuda, amemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kufanya ziara wilayani humo, ili kuisafisha kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kama alivyofanya katika Wilaya ya...
"Habari zinaeleza kuwa jioni ya leo Watu 22 wanahofiwa kufa papo hapo na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya basi iliyotokea maeneo ya Nzega-Tabora wakati likielekea...
At a time when many his age would thank their stars for being able to acquire a first degree and some dare to acquire a second one instead of looking for a job, Dr. Nkem Karl Omebere-Iyari has...
AT least 24 people have died and 56 others injured after a bus they were travelling in from Arusha to Mwanza overturned after a tyre burst in Nzega District yesterday.
Tabora Regional Police...
Abiria wapatao 180 wamelazimika kulala mahotelini hapo jana kufwatia ndege ya klm kushindwa kuruka kutokana na technical problem,akiongea kwa huzuni kubwa manager wa klm tanzania alisema kweli...
Wana JF,
TUKIO HILI LILITOKEA 27/02/2010
Last week nilikuwa napita arusha nikakutana na wimbi la wizi ambalo wao ni kuvamia maeneo ya Glossary, Bar, Maduka, na majumbani Na wakija ni wako kundi...
Mambo hadharani kama hivi:
Hongera Bwana Mpande Home Boy wa JK na Mmiliki wa Millenium Hotel Bagamoyo. Hongera Samueli Meneja Masoko wa ATC, bila ya shaka Mkuu wa Kaya kauona utendaji wako mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.