WATU wanne wanaotuhumiwa kuwa majambazi wameuawa na Polisi mkoani hapa walipokuwa wakifanya jaribio la kutoroka mikononi mwa polisi.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Zelothe Stephen alisema jana...
MTU mmoja anayesadikiwa kuwa ni jambazi wilayani Maswa, amewakimbia polisi waliokuwa wamemkamata kwa tuhuma za ujambazi huku akiwa na pingu mikononi.
Tukio hilo lilitokea juzi wakati kundi la...
Mwanamke Aliyesingizia Kubakwa Atupwa Jela
Biurny Peguero Thursday, February 25, 2010 2:00 AM
Mwanamke wa nchini Marekani aliyemsingizia mwanaume asiye na hatia kuwa amembaka na kusababisha...
Wakati JK akionya kuhusu viongozi wanaonunua uongozi kuna wanaomsuta kwamba hana 'moral authority' kuzungumzia suala hilo kwani hata yeye mwenyewe na watu wake wengi wanaomzunguka walipata uongozi...
Mgogoro kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na waumini wa Kanisa la Full Gospel Fellowship kuhusu kupitisha njia ya umeme wa msongo wa Kilovoti 132 mbele ya kanisa hilo, umechukua sura...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Benki ya Taifa ya Biashara zinasema wizi mkubwa wa mamilioni ya shilingi ulioanza mwaka juzi hautokoma kwa kuwa benki hiyo imekuwa ikiwalipa watumishi wa ngazi...
UWEZEKANO wa wanawake wa mijini kupata vitambi ni mkubwa mara mbili ya asilimia 32 kwa miaka kumi ijayo tofauti na wa vijijini kwa asilimia 12 katika miaka hiyo, imeelezwa.
Hata hivyo hali ya...
Mwenzenu nimeulizwa hili swali na watoto wangu niimeona ni vema kama nikipata msaada wenu kwani kwangu lilikuwa swali gumu kidogo. Swali lasema hivi:- Hivi kwa nini viumbe hai vyote vizaliwapo...
Je ulijua kuwa ndombolo na zouk ni traditinal music ya Tanzania? je ulijua sprgheti ni chakula asili cha Tanzania? Ubalozi wetu Ukitaka ujue kama ndombolo ni muziki wa asili wa Kitanzania na...
Well done Oprah and British Airways.
TWO TRUE STORIES ABOUT RACISM
1) I'm sure many of you watched the recent taping of the Oprah Winfrey Show
where her guest was Tommy Hilfiger. On the...
:cool:Hii ndio hotuba ya rais wetu kikwete jana isomeni na muijue msiishie kubiasha bila kutoa maoni nini unadhani ni sahihi na wapi kapiga chini:
HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA...
By Mike Thomson
Today programme
12 year-old, Henri, which is not his real name, points at a large fresh looking scar on his midriff.
"People accused me of sorcery and my mother believed...
POLISI wamewatia mbaroni wanafunzi wawili wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Dar es Salaam, kwa tuhuma za kukamatwa wakiwa na mabunda saba ya mirungi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni...
SERIKALI inatarajia kuwarudisha vyura 1,000 wa Kihansi kati ya 5,248 waliopo nchini Marekani hivi sasa katika miezi minne ijayo.
Vyura 499 walipelekwa na serikali nchini humo mwaka 2000 baada...
GWYNNE DYER
Eagle-eyed Columnist analyses global issues
BY May 1928 the basic principles of guerilla warfare...had already been evolved; that is, the sixteen-character formula: The enemy...
Kombani awashukia walimu walevi
na Ghisa Abby, Morogoro
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani, amewaagiza maofisa wa elimu...
What Attracts Women 101
It has been a well accepted fact that men are basically clueless to whatever it is that attracts women. In fact, some reports contend that women are so hard to...
Makubwa kama siyo madogo. Kelele zote, hatimaye Us blogger ajitambulisha na kuamua kujitosa kugombea Ubunge Jimbo la TEMEKE. Wakuu, maneno ya US blogger mwenyewe
Bado anaendelea na kutaka mjadala...
Na Muhibu Said
26th February 2010
Serikali imesema talaka ambazo hazitambuliwi na mahakama, hazivunji ndoa iliyofungwa kwa vile chombo pekee chenye mamlaka ya kuvunja ndoa Tanzania Bara ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.